Kwa Wale Wajasiriamali na Wafanyabiashara | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa Wale Wajasiriamali na Wafanyabiashara

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Pelham 1, Oct 12, 2012.

 1. Pelham 1

  Pelham 1 JF-Expert Member

  #1
  Oct 12, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 521
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Tangaza Marketing Solutions:
  Ni Kampuni inayojihusisha na Advertising,Marketing & Promotions
  Lengo kuu nikusaidia Wajasiriamali na Wafanyabiashara kuweza kujua Wateja wao na wateja kujua bidhaa ama huduma walizonazo pindi wanapohitaji.
  Pia tunasaidia wale waliobusy kuwafungulia Biashara[Kampuni] kutokana na aina ya biashara mteja anayotaka[hitaji] kufungua,
  Kama ni biashara ya mtu mmoja[Individual] Watu 2 nakuendelea[Partinership] na Limited Company. Kwa mda wa siku 4 mpaka wiki 1 unakabidhiwa usajili wa biashara yako ukiwa umekamilika, Nikimaanisha unakabidhiwa mkononi usajili wa jina la biashara yako,Tin namba na Leseni vikiwa vimekamilika.
  Usajili wa NGOs ni wiki 2 na Saccos ni wiki 1
  Maamuzi ni yako baada ya usajili kukamilika kama utahitaji kuletewa sehemu ulipo ama kutumiwa popote utakapokuwa.
  Kwani kwetu Mteja ni Mfalme
  Office: Sinza Africasana,Off Shekilango road
  Mawasiliano:
  0714-074040, 0767074040 0785074040, 0713705360
  Email: tangaza4marketing@gmail.com
  aba.pelham@yahoo.com
  smwadini@yahoo.com
  "Karibuni"
   
 2. Ipi dot com

  Ipi dot com JF-Expert Member

  #2
  Oct 12, 2012
  Joined: Mar 28, 2011
  Messages: 267
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  Tumewasoma!
   
 3. r

  rodrick alexander JF-Expert Member

  #3
  Oct 16, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 4,110
  Likes Received: 1,499
  Trophy Points: 280
  nyinyi ndio mnaochangia rushwa taratibu za kusajili,kupata tin na leseni unaeleweka lakini ukienda kusajili kampuni unazungushwa makusudi ili utoe chochote au kutumia vikampuni vyenu ambavyo mnagawana pesa
   
 4. K

  KOMWAA Member

  #4
  Oct 22, 2012
  Joined: Mar 26, 2012
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu lakini sidhani kama kuna makosa iwapo baadhi ya watu wamejitolea kuacha ishu zingine na kutusaidia kusajili,ukichukulia wafanyabiashara wengi tunakuwa bize na utaratibu za usajili ni time consuming, let them do ndo mana wenzenu wanaendelea hivyo hivyo kwa kugawana kazi huwezi kufanya kila kitu mwenyewe,let them use opportunity.
   
 5. Pelham 1

  Pelham 1 JF-Expert Member

  #5
  Oct 22, 2012
  Joined: Feb 29, 2012
  Messages: 521
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  bwana mdogo kwanza unaonekana ua dharau sana,halafu kwenye maisha yako yote yaliyobakia hapa duniani usipende kumdharau mtu usie mjua sawa?,pili kampuni yangu sio ya hivyo unavodhani,ingekua ya magumashi kama unavosema isingesajiliwa wala kulipa kodi kwani hakuna bizness ya magumashi ambayo inaweza kudumu kwa muda mrefu,pili tunafanya hivi kwa ajili ya watu ambao hawajui wapi pa kuanzia[procedures] kama anataka kusajili kampuni n.k. au kama hana muda wa kufuatilia kutokana na nature ya shughuli anazofanya,na hili nakwambia kutokana na uzoeufu tulionao kwa wateja wetu,una uhakika kama kuna mamlaka inazungusha watu ili wengine wapate deal? uspende kukurupuka na ku-accuse watu kwa jambo ambalo huna uhakika nalo brother,na hii kampuni sio ya kihuni kama unazofaham wewe....KARIBU SANA OFISINI KWETU UTAJIFUNZA KITU;
   
 6. r

  rodrick alexander JF-Expert Member

  #6
  Oct 23, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 4,110
  Likes Received: 1,499
  Trophy Points: 280
  sijuikama unajua umri wangu hadi uniite bwana mdogo
  taratibu za kusajili kampuni au kupata leseni zipo wazi ila kwa sababu ya rushwa unakutwa mtu unazungushwa bila sababu unaweza kunieleza kwanini wengine inachukua masaa kusajili kampuni au kupata leseni wakati wengine wanachukua zaidi ya wiki mbili kupata huduma hiyo hiyo kwa kiasi kikubwa imechangiwa na watu kama nyinyi ambao bila kuficha mmetumia mwanya huo kujitengenezea mtandao wa rushwa nendeni Rwanda ambako kila kitu kinafanyika kwa uwazi na kama mtapata mteja hata mmoja nyie ndio mnachangia kulea wala rushwa
   
Loading...