kanuni ya kujiajiri ni kutumia fursa ya matatizo ya watu na GAP ya ufahamu wako na wengine! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kanuni ya kujiajiri ni kutumia fursa ya matatizo ya watu na GAP ya ufahamu wako na wengine!

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by IPILIMO, Oct 22, 2012.

 1. IPILIMO

  IPILIMO JF-Expert Member

  #1
  Oct 22, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 1,772
  Likes Received: 460
  Trophy Points: 180
  Sawa hapo wakuu!
   
 2. k

  komamgo JF-Expert Member

  #2
  Oct 23, 2012
  Joined: Sep 14, 2012
  Messages: 817
  Likes Received: 321
  Trophy Points: 80
  Elezea kidogo basi bwana
   
 3. IPILIMO

  IPILIMO JF-Expert Member

  #3
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 1,772
  Likes Received: 460
  Trophy Points: 180
  Fursa za kujiajiri zinatokana na gap la ufahamu/ujuzi kati yako na watu wengine katika jamii/taifa. Pia kila mtu kwa wakati fulani anakuwa na magumu anayopitia; yanahitaji ufumbuzi; na mengi ya mambo hayo hutatuliwa na watu wenye ufahamu/ujuzi huo!! mfano mimi ni consultant katika masuala ya maendeleo, miradi na resource mobilisation! Naamini wapo watu wenye shida fulani ambayo katika haya niyafanyayo ufumbuzi wake utatokea. Na pia ni vema watu wakajua tunategemeana kwa namna moja au nyingine. Hata kama ni msomi vipi bado nitahitaji ufumbuzi wa masuala yangu kwa watu/kampuni fulani. Cha msingi mtu binafsi lazima ujue strenght yako ni ipi!! Kila kazi duniani ni product ya haya ninayo sema!! Watanzania wasipende kutatuliwa matatizo yao bure, hata kama ni ushauri hasa wa kitaalamu!!! tukifanya hivyo vijana wengi wasomi watajiajiri. Naona wenye elimu ndogo au wastani ndo wanaweza sana hii kanuni; kuna carpenters, car wash etc, ili sisi wenye magari tupate ufumbuzi wa magari yetu kuwa safi kutoka kwao. Kama hutaki kuwalipa osha mwenyewe, ila hutafanya kwa ustadi, na wale vijana watabaki hawana kazi!!
   
 4. Kig

  Kig JF-Expert Member

  #4
  Oct 25, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 1,060
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160

  naona umetoa mawazo mazuri sana. kwa kweli ni muda muafaka vijana tutumie akili zetu kujiajiri ingawa kujiaajiri ni jambo zito na watu wanaliogopa sana. inabidi tuwe na ujasiri wa kuthubutu
   
 5. k

  komamgo JF-Expert Member

  #5
  Oct 25, 2012
  Joined: Sep 14, 2012
  Messages: 817
  Likes Received: 321
  Trophy Points: 80
  Ndugu hapa ni mahali pa mhimu sana............ "lazima ujue strenght yako ni ipi!!" nakubaliana na hilo kabisa kwani bila kujua kilo hakuna mwelekeo kabisa , hebu tujuze kidogo ni wapi pa kuanzia kujua strength ?
   
 6. K

  KOMWAA Member

  #6
  Oct 25, 2012
  Joined: Mar 26, 2012
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Strength ni kitu chochote unachoweza kukifanya katika perfomance ya juu iwe ni ujuzi,kipaji au kazi ukilingalinisha na wengine katika kitu hicho hicho..mara nyingi utaijua strength yako kwa kulinganisha na maeneo mengine unayoweza kufanya.
   
 7. S

  SpaceBrigade Member

  #7
  Oct 25, 2012
  Joined: Oct 24, 2012
  Messages: 20
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  in tanzania people live by theories, maisha kuthubutu, bila kujaribu umaskini hautotuondoka. i have failed many times bila kukata tamaa, sasa atleast mwanga waonekana.
   
 8. IPILIMO

  IPILIMO JF-Expert Member

  #8
  Oct 27, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 1,772
  Likes Received: 460
  Trophy Points: 180
  You are right Kigi, take a move, will meet on the way!
   
 9. IPILIMO

  IPILIMO JF-Expert Member

  #9
  Oct 28, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 1,772
  Likes Received: 460
  Trophy Points: 180
  He is right!! utafanya mengi maishani lakini kuna jambo au mambo fulani lazima utajikuta unaperform vizuri sana tena ukiwa na interest kubwa on it. Hivyo pale unapo perform vizuri ndipo pa kukazia sana!!!! tafuta kila uwezekano kupaundia utaratibu wa kudesign activities!
   
Loading...