Recent content by komeka

  1. komeka

    Julius Mtatiro: Ndugu zangu watanzania, hakuna aliye salama

    fisadi ni nani? mtatiro, zitto, mbowe, au wale wachungaji wa kkkt
  2. komeka

    Shule ya Bendel Memorial Moshi wanachapa sana watoto

    we ulikuwa ng'ombe fimbo zilikustahili
  3. komeka

    Shule ya Bendel Memorial Moshi wanachapa sana watoto

    Tatizo sio fimbo tatizo ni fimbo kupita kiasi hasa mkishakuwa na stress za kutibuliwa na waume zenu asubuhi asubuhi hasira zote mnatka mzimalize kwa watoto hii sio sawa!!!
  4. komeka

    Wapi alipo winga teleza Ramadhan Singano ""Messi""?

    jamal mwambeleko alikuwa mbao anacheza kikosi cha kwanza now kahamia simba anapigwa benchi mwanzo mwisho!! vp na yeye sifa na ushauri wa ajabu vimemponza??........tatizo lenu nyie mashabiki wa simba na yanga mnaona timu zenu km timu za malaika mchezaji hatakiwi kuhama hta km amepata dau nono...
  5. komeka

    Wapi alipo winga teleza Ramadhan Singano ""Messi""?

    hyo ni nature ya binadamu yoyote kutafuta malisho bora zaidi kuliko sehemu aliyopo, singano alifanya uamuzi sahihi kuondoka simba coz walimuahidi kumfanyia vitu vingi lkn hawakuvifanya sasa ulitka afanyaje? aendelee kuvumilia ujinga ...now yupo azam analipwa vizuri tu izo changamoto za kukaa...
  6. komeka

    Ushauri wa Shamsa Ford kwa mastaa wa kike nchini, baada ya Zari kulamba dili nono

    ndyo maana katumia neno "tujikague" ina maana na yeye kajiwekamo kwny hilo group
  7. komeka

    Maendeleo ya China yaliletwa na Katiba Mpya?

    jibu hpo ni katiba mpya ndyo inabeba hyo mengine uliyoyataja na kikubwa zaidi ni kuwa na katiba inayomuongoza rais na sio katiba inayoongozwa na rais.....all in all katiba mpya inahitajika na umuhimu unazidi kuongezeka siku hadi siku
  8. komeka

    Maendeleo ya China yaliletwa na Katiba Mpya?

    hicho usichotaka kukiongelea na unakiongelea huoni km vinategemeana kwa kiasi kikubwa, ni km ilivyo miguu huwez kutembelea mguu mmoja
  9. komeka

    Maendeleo ya China yaliletwa na Katiba Mpya?

    kwanini unazungumzia dhamira njema ya wananchi na huzungumzii dhamira njema ya serikali? naona uko too much emotional hta hatari iliyoko mbele yetu huioni!.Mi ntakupa mfano hai wa hii katiba itakavyotugharimu huko mbele....Tume ya uchaguzi haipo huru inafanya kazi kwa maelekezo, kwa hyo...
  10. komeka

    Maendeleo ya China yaliletwa na Katiba Mpya?

    chief kuna mahusiano makubwa kati ya katiba bora na maendeleo!. Marekani ndyo taifa tajiri duniani lkn ukiangalia siri ya mafanikio yao, utagundua ubora wa katiba yao umechangia pakubwa . katiba inayosisitiza nchi kwanza hlf maslahi ya mtu mmoja mmoja ndyo yanafuata sio huku bongo rais kapewa...
  11. komeka

    Maendeleo ya China yaliletwa na Katiba Mpya?

    usiolijua ni kwamba siasa bora na uongozi ulio bora unaletwa na katiba iliyo bora
  12. komeka

    Mugabe akiri kutorosha fedha nje ya nchi

    Nahyo ndyo sababu dubai inazidi kutajirika huku zimbabwe inazidi kufilisika
  13. komeka

    Tanzania(Taifa Stars) yanyolewa bila wembe na Algeria goli 4 kwa 1

    nadhani pia tuangalie na suala la walimu kwa mfano pale azam wana academy nzuri tu lkn angalia product zao wachezaji wakishafuzu kutoka hpo kwenye academy yao unakuta bdo ana mapungufu kbao hebu mwangalie mchezaji km yahya zaid hyu kakulia kwenye academy ya azam na alikuwa top player kutoka...
Back
Top Bottom