UDOM 2011/2012 First college education alikuja demu rafk kunisalimia tukaliga story adi sa tatu anataka kuondoka kwenda block kwao ...jamaa mmoja tunaishi nae akamwambia Baki ulale usiku huu unaenda wapi jamaa akatupisha kitandan yeye akasema Mimi ntalala kitandan Cha juu dekani nyie laleni apo...
Umenene kweli kabisa ..Mimi nimelipia kuunganishiwa maji miez mitatu saiv wanasema hawana vifaa na ela nimelipa kwa control no..hapa KOROGWE MJI..nawaza kumtafuta wazir wa maji Juma aweso labda anaweza nisaidia nikapata maji
Kuna Magunga hospital ya mji wa KOROGWE ni hatari Sana kwanza vipimo hamna huduma ni mbovu wahudumu wapo busy na Mambo Yao..hata kipimo Cha wingi wa damu hakuna ...mkuu wa wilaya joketi tunaomba upite hapo
Nwamposa amesaidia Sana watu kufahamu habari za uzima na habari za Yesu na watu wameamini kupitia mahubir yake ...ni mmiongoni mwa wamisionari wa Karne hii
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.