Recent content by kolelosi

  1. kolelosi

    JamiiForums Tanzania Raisi Ruto awafikia wale Msioamini uwepo wa Mungu (Atheists)

    Hao wasomali kwa sasa ndio wameshika uchumi wa Kenya kwa asilimia kubwa sana, sasa nchi yenyewe suala la Rushwa kama unavyojua viongozi wetu hawa sidhani kama kuna uwezekano wakaliepuka hili. Nairobi imeshikwa haswaaa na wasomali kwa sasa ata Mombasa pia ni hivyo hivyo
  2. kolelosi

    JamiiForums Tanzania Raisi Ruto awafikia wale Msioamini uwepo wa Mungu (Atheists)

    Hao wasomali kwa sasa ndio wameshika uchumi wa Kenya kwa asilimia kubwa sana, sasa nchi yenyewe suala la Rushwa kama unavyojua viongozi wetu hawa sidhani kama kuna uwezekano wakaliepuka hili. Nairobi imeshikwa haswaaa na wasomali kwa sasa ata Mombasa pia ni hivyo hivyo
  3. kolelosi

    JamiiForums Tanzania Kwa hili, namsaidiaje binti yangu?

    Watu wanvyosemaga humu single mothers kama mzazi mwenzie yupo hai jua tuu kuna siku kiporo kitapashwa sio uongo. Mimi nina mwenza tulitengana miaka 10 iliyopita na kipindi tumeachana tayari alikuwa ameshazaa na mimi sasa, mbwembwe alizokuwa akinifanyia mie nilikaa kimya zaidi ya matumizi ya...
  4. kolelosi

    JamiiForums Tanzania Boksi la ajabu ladaiwa kutelekezwa barabarani Mwenge, Dar es salaam

    Tena mbao zenyewe za kuungaunga. Nyie mabishoo wa mwenge mnatudhalilisha watu wa Dar. Ingekuwa mitaa ya kwetu ningepitanalo hiyo hiyo jana
  5. kolelosi

    JamiiForums Tanzania Ukanda wa kimara ( Ubungo mpaka Mbezi Mwisho) Tatizo ni nini?

    Mtuache na kimara yetu, kipindi wenzenu wanafanya utafiti wa kujenga BRT hamkuwepo muwashauri haya mnayoyasema leo? Hamjui kwamba bomoabomoa imeleta athari kubwa maeneo hayo mpaka kibaha?
  6. kolelosi

    JamiiForums Tanzania HOJA Deni la Daraja la Kigamboni (Mwalimu Nyerere) litaisha lini?

    Hapo Kenya (Mombasa) kuna daraja kubwa zaidi ya hilo la kigamboni na ni free kwa vyombo vyote vya moto. Sasa sisi ilipaswa itazamwe namna ya kufanya kuhusu huo uwekezaji wa NSSF unawekwa namna gani kuendelea kutoza miaka yote hiyo ni namna gani inavyoonesha mawazo yetu bado ni mgando kiasi gani.
  7. kolelosi

    JamiiForums Tanzania World Meteorological Organization zinaonyesha kuwa hali ya El Niño inaendelea kujitokeza na inatarajiwa kuathiri mifumo ya joto na mvua duniani

    Duuh kumbe hii habari ilipostiwa humu tokea jun 2 na inakaribia miezi miwili haikujadiliwa humu😳 Hakika tunatakiwa kujitafakari kwenye habari kama hizi za kujiandaa na haya majanga maana kila mwaka unaokuwa na 7 hizi mvua huwa zinajitokeza kumbukumbu yangu kubwa ambayo haijanitoka ya mvua hizi...
  8. kolelosi

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Baadhi ya Watanzania na Wakenya waunganisha nguvu kuisaka familia ya Mafwele Afrika Kusini

    Aisee nilikuwa natazama video inayohusu hao askari kuua yule raia wa Nigeria iliyotembea mitandaoni ndio unapata picha jinsi nchi hiyo ilivyo, polisi kiasili nchi nyingi tabia vinafanana ila kwa huko SA hapana kwa kweli 🙌.
  9. kolelosi

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Baadhi ya Watanzania na Wakenya waunganisha nguvu kuisaka familia ya Mafwele Afrika Kusini

    Binafsi siamini kama kweli hii familia itakuwa ipo South Africa mpaka sasa, suala la usalama kwa hiyo nchi hapana kwa kweli hakuna mtu makini ataamua kuweka family nchi ile, labda wawe wanaishi ubalozini na wawe walibadilisha majina. Sijawai kufika south ila kwa matukio ninayoyaona mitandaoni...
  10. kolelosi

    JamiiForums Tanzania Responded HOJA Clip ya Wananchi wa Kisaki kupinga mauaji yanayofanywa na Askari wa Hifadhi Morogoro, inatuma ujumbe gani kwa Mamlaka?

    Naona wengi mnakomenti kuhusu mbao tuu, video inasema na wavuvi wa samaki pia huuawa, au wengi mliokomenti hapa ndio wauaji wa hao wananchi? Na je ni kweli hatua zakuchukiliwa ni hizo za kuua hao wananchi? Ngoja nichukue likizo nikapige kambi my home gomelo hapo nitapata ukweli juu ya haya...
  11. kolelosi

    JamiiForums Tanzania Sheikh Alhad Musa: Msimchafue Mfanyabiashara Nilesh Suchack Hawezi changia vyma vya vurugu

    Huyo asiyelipa mishahara wafanyakazi wake haswaa madereva?
  12. kolelosi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Dkt. Lugomela: Bungeni Tunakula Msoto, Nashindwa Hata Kulipa Ada za Watoto, ukipata Uspika au Kamati mambo yako mazuri

    Kwa hiyo sasa tumsaidie aje kuajiriwa kwenye kazi ya salary kima cha chini laki 3 ili ajue maisha halisi ya wanaowaongoza yakoje? Hawa watu hawana adabu kabisa na hizo kauli zao wanaropoka tuu utadhani watu wote hatunazo
  13. kolelosi

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha Vodacom na Airtel kuuza namba zetu za zamani ni hatari kwa usalama wetu wa kifedha na kijamii

    Nawashangaa sana hawa watu wa mitandao na baadhi ya member wanaosuport huo utaratibu. Mimi ni muhanga wa hili jambo line yangu ya tokea enzi za mobitel niliyokuwanaitumia kwa takribani miaka 23 imefungiwa na siwezi kuipata kwa sasa. Sababu nilikuwa nje ya nchi kwa mwaka mmoja sasa hapa kosa...
  14. kolelosi

    JamiiForums Tanzania Kikatiba Muda wa Rais unaisha Bunge linapovunjwa. Inakuwaje Uteuzi na Utenguzi unafanyika kipindi hiki?

    Cha kuongeza hapo watu wafahamu, inaposhushwa bendera ya rais ndio rasmi madaraka yake yamekomea hapo na inaponyanyuliwa bendera nyingine ya raisi ndio rais mteule anakuwa rasmi kimadaraka.
  15. kolelosi

    JamiiForums Tanzania Nembo ya mpira kombe la dunia ni picha ya nyoka cobra au chatu na kombe ni sanamu ya chatu. Timu zinagombea kichwa cha nyoka Shetani kombe la dunia

    Siwezi mkuu huko google ndio wapi kwani? Ila kwa wale wa mambo ya upande wa pili wa dunia huwa wanasema michuano hii huwa ni kuoneshana "ubabe" wa nguvu za giza nikikumbuka nukuu mbali mbali za marehemu sheikh Yahya Hussein kwenye kipindi chake cha chanel ten
Back
Top Bottom