Natafuta Kazi yoyote ya Halali, Profile yangu hii

Gentlemen_

JF-Expert Member
Nov 24, 2019
3,525
10,399
Habari Ndugu zangu,
Nimekuja katika hili Jukwaa kuomba Msaada wa Kazi yoyote.

1- Specific Mission
2- Temporary
3- Permanent

Nina taaluma nyingi nitazigawa kwa makundi mawili.

1- Social studies
Office Administrator (2yrs Experience)
-Driving Skills Manual & Automatic (Experience 7yrs)

2- ICT and Technical Skills (Experience Lifetime)
- Microsoft Packages (Advanced Excel, PowerPoint and Msword)

  • Network Configurations
  • System Installation
  • Hardware and Software Maintenance
-Programming Skills

** Cyber Security
1- System Hacking and Penetration
2- Privilege Escalation
3-DDOS Attacks
4- Data Restoration (After being deleted)
5-Creating Dangerous Viruses for Destroying Systems/Data/Computer
6-Information Gathering over OSINT skills
7-Data manipulation
8-OS (Win + Android) hacking and maintain persistence
9- Secret Information transmitting via Encryption methods.
10- Hardware (Technical) maintenance PC and Mobile phones.

(Skills zipo nyingi mno)
Nipo na uzoefu wa matumizi ya Forensic methodology in Information gathering hasa hasa kwa kutumia Tools and skills.

Idara zote , taasisi au watu binafsi naomba msaada wenu.

Hali si nzuri nahofia kugeuza huu ujuzi kuwa nyenzo ya kufanya UHALIFU.

Umri 23 yrs
Makazi- DSM
Elimu:DEGREE
Jinsia: Me

AHSANTENI.
Screenshot_20210501-084536.jpg
 
Hii ya udereva ulipata leseni k
ukiwa na miaka16?
Na uzoefu unao wa miaka 7.
Degree umepata lini, secondary lini umehitimu?
Gari ulikuwa unaendesha wakati wa kwenda shule?
Kuna mengi ya kujifunza kutoka kwako kwa mujibu wa umri wako wa miaka 23.
 
Kuhusu Swala la Udereva.

Kuna kupata leseni na kuwa na uzoefu ni vitu viwil tofauti
Nilianza kuendesha gari ndipo baadae kufata process za leseni (Nilisoma chuo cha udereva (Binafsi) nikapata Class D Driving license) hii ni mara yangu ya 3 naenda kurenew leseni.

Degree nimepata 2021
Secondary 2019
 
watu bhana kwahyo vitu vyote hivyo umevipata na una miaka 23 unajua chanzo cha ww kutopata hata akili ya kufanya mambo yako ni kwakua unajifanganya kuwa una huo uwezo ulioandika ila huna hata kimoja fanya mpngo upate mtu akufungue akili uwe timamu afya ya akili hapo hakuna
 
Sawa. Ahsante kwa ushauri
 
Habari Ndugu zangu,
Nimekuja katika hili Jukwaa kuomba Msaada wa Kazi yoyote.

1- Specific Mission
2- Temporary
3- Permanent

Nina taaluma nyingi nitazigawa kwa makundi mawili.

1- Social studies
Office Administrator (2yrs Experience)
-Driving Skills Manual & Automatic (Experience 7yrs)

2- ICT and Technical Skills (Experience Lifetime)
- Microsoft Packages (Advanced Excel, PowerPoint and Msword)

  • Network Configurations
  • System Installation
  • Hardware and Software Maintenance
-Programming Skills

** Cyber Security
1- System Hacking and Penetration
2- Privilege Escalation
3-DDOS Attacks
4- Data Restoration (After being deleted)
5-Creating Dangerous Viruses for Destroying Systems/Data/Computer
6-Information Gathering over OSINT skills
7-Data manipulation
8-OS (Win + Android) hacking and maintain persistence
9- Secret Information transmitting via Encryption methods.
10- Hardware (Technical) maintenance PC and Mobile phones.

(Skills zipo nyingi mno)
Nipo na uzoefu wa matumizi ya Forensic methodology in Information gathering hasa hasa kwa kutumia Tools and skills.

Idara zote , taasisi au watu binafsi naomba msaada wenu.

Hali si nzuri nahofia kugeuza huu ujuzi kuwa nyenzo ya kufanya UHALIFU.

Umri 23 yrs
Makazi- DSM
Elimu:DEGREE
Jinsia: Me

AHSANTENI.View attachment 2442971
na kama upo bongo hatuna soda wala kinywaji cha namna hio kwenye picha na pia hatuna electric extention za matundu hayo labda utafute mazuzu wa fb ukawadanganye
 
Dogo leseni kurenew ni mara yako ya tatu kwa kutumia miaka mingapi?
3x3=9 na na kama kwa sasa ni kila baada ya miaka 5.tukirudi miaka yako hailingani kabisa na uhalisia 23-9=14 na sheria ya leseni mtoto wa miaka 14 hana sifa ya kuwa na leseni.

Sasa huo uzoefu wa kuendesha gari kabla ya leseni ulijifunza ukiwa na miaka mingapi?

Kuwa mkweli ili usaidike zaidi zaidi utakuwa unajiweka wazi kwamba wewe ni muongo hivyo watu werevu watakupuuzia tuu.
 
Nyie ndio wezi ukienda kufanya usahili kwa uwongo huu pale mbele mezani pingu hapo hapo.
Huo umri na elimu na uzoefu wa kazi zako hata haviendani
 
Hiyo ni Meme, kumbe najibishana na mtu mwenye upeo mdogo
 
picha ya mchongo

punguza kuangalia movies , zinakuharibu

utanishukuru
 
Dogo leseni kurenew ni mara yako ya tatu kwa kutumia miaka mingapi?
3x3=9 na na kama kwa sasa ni kila baada ya miaka 5.tukirudi miaka yako hailingani kabisa na uhalisia 23-9=14 na sheria ya leseni mtoto wa miaka 14 hana sifa ya kuwa na leseni.

Sasa huo uzoefu wa kuendesha gari kabla ya leseni ulijifunza ukiwa na miaka mingapi?

Kuwa mkweli ili usaidike zaidi zaidi utakuwa unajiweka wazi kwamba wewe ni muongo hivyo watu werevu watakupuuzia tuu.
Naomba kdg nieleweke, Leseni wanapata hata wale wasiojua kuwasha gari,
Hilo moja, mbili lesen inakuw renew kila baada ya miaka 3 (hapo mwanzo) 7 ukigawa mara mbil ni 3.5 inabaki so 5+5 unapata mwaka mmoja ambayo tyr mwaka ushaisha naend kurenew yaan nakuw na lesen 3 (ile ya kwanza, ya pili after kuexpire na sahiv yatatu)
 
Nyie ndio wezi ukienda kufanya usahili kwa uwongo huu pale mbele mezani pingu hapo hapo.
Huo umri na elimu na uzoefu wa kazi zako hata haviendani
Kama una Kazi, na unatak kunifanyia USAHILI karibu.
 
watu bhana kwahyo vitu vyote hivyo umevipata na una miaka 23 unajua chanzo cha ww kutopata hata akili ya kufanya mambo yako ni kwakua unajifanganya kuwa una huo uwezo ulioandika ila huna hata kimoja fanya mpngo upate mtu akufungue akili uwe timamu afya ya akili hapo hakuna
Kijana una chuki za bure, wewe kama huna hivyo vitu na huo umri wako usitegemee kila mtu amekaa kifala kama wewe. Acha wivu

Si shangai ni kawaida yako
Na sifa zote hizo bado hujapata ajira

Fungua macho uone mbele imagine yule uliemuacha kafeli darasa la saba leo ana familia na kakuzidi kipato

Fanya maamuzi magumu najua umetokea familia maskini huna uwezo wa kuhonga ukapenya penya hivyo bas heb tafta connection bila hivyo utafubaa mtaani
Jifunze kuwa na Adabu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom