Recent content by kogosimion

  1. K

    Mbowe aiuza CHADEMA kwa Lowassa

    Bora akiuze chama kuliko wale walio uza nchi
  2. K

    Nahitaji mume wa Kiislam

    Tuma namba yako
  3. K

    Marufuku ya Jeshi La Polisi Kuhusu Maahandamano Ni Kwa Vyama Vya Upinzani Tu

    Ndiyo maana tumewatanguliza wao tutafunika jiji hats zaidi ya saa kumi
  4. K

    Prof Lipumba kuongea na Wanahabari Jumapili Serena Hotel

    Hana Sera atumuhitaji hata bure alishavuna hela za ccm kwahiyo hana cha kutueleza cc watanzania
  5. K

    David Silinde apata ajali wakati akitoka kurudisha fomu ya Ubunge

    Pole sana kamanda silinde Mungu kakunusuru
  6. K

    David Silinde apata ajali wakati akitoka kurudisha fomu ya Ubunge

    Pole sana kamanda silinde maana katika harakati ya ukombozi huwa inakuwa na mambo mengi
  7. K

    Nchi inamhitaji sana Dr. Magufuli

    Lowassa kafanya makubwa katika nchi hii wakazi wa shinyanga watamkumbuka kwa kuwaletea maji toka ziwa Victoria hadi shinyanga
  8. K

    GE2015 Napendekeza: Wassira apimane ubavu na Easter Bulaya jimbo la Bunda

    Wasira hana chake pale Bunda ameshindwa kutatua Matatizo ya maji katika mji wa Bunda licha ya kuwa waziri wa maji atufai huyu
  9. K

    Nchi inamhitaji sana Dr. Magufuli

    Magufuli hafai kuwa kiongozi wa nchi hii atuhitaji mtu atakaye mlinda jakaya na ilani chama cha mapinduzi kwani toka nchi hii imepata Uhuru kumeshakwepo na ilani ngapi ambayo imeshindwa kutatua Matatizo ya wananchi?
  10. K

    TBC yadanganya, hatua stahiki zichukuliwe

    Lowassa ndiye rais wa nchi hii mpende msipende
  11. K

    TBC yadanganya, hatua stahiki zichukuliwe

    Huyu dada anayelipwa kwa kodi za wananchi bado amekaa ameridhika kukaa ofisini huku akipotosha umma kwa kutoa taarifa pungufu wewe unafikiri wananchi walioko vijijini hawaelewi mambo yanaendelea wakati wa mabadiliko ya kisiasa hii ndiyo sababu huwa siangalii TBC 1
  12. K

    Yaliyojiri Mkutano wa kumtambulisha Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA - Mwanza

    Mwaka huu ccm lazima ikae chini maana wana nchi wanahitaji mabadiliko
  13. K

    Katika watu wanaojuta ni Arfi Said

    Ccm itakaa mwaka huu
  14. K

    Katika watu wanaojuta ni Arfi Said

    People's power
Back
Top Bottom