Katika watu wanaojuta ni Arfi Said

Katika watu wanaojuta ni Arfi Said

Yeye na zzk walijiona kama miungu watu,CHADEMA sio chama cha mtu bali ni taasisi. Mmoja akiondoka,wengine wanashika usukani.

Watu wanakuwa vipovu kwenye siasa ukipata nafasi usiichezee ukifanya mchezo utasahalika na na ukisahalika siasa haitakukumbuka tena ndicho kilicho wapata Lamwai Kaburuo Tambwe Hiza na wengine
 
Ubalozi? Labda ubalozi wa nyumba kumi,na form 4 yake failure atapewa ubalozi na nani?
Msibeze watu wa namna hii wana malengo marefu.
Wapo wenzie kina Msambiya walikosa Ubunge wakapewa Ukuu wa Wilaya na wengine wamekula Ukuu wa Mikoa na Ubalozi nje ya nchi.

Kuna posts nyingi sana watu kama hao zinawadondokea siku za mbeleni.Na kuna post zinalipa kuliko Ubunge.

Watu wanamalengo ya muda mrewfu na wapo makini sana kwenye maamuzi yao,kwahiyo msimchukulie Simple namna hiyo.
 
Huo ndio ukweli kamanda.
Watu wanakuwa vipovu kwenye siasa ukipata nafasi usiichezee ukifanya mchezo utasahalika na na ukisahalika siasa haitakukumbuka tena ndicho kilicho wapata Lamwai Kaburuo Tambwe Hiza na wengine
 
Bora Mimi sio mwanasiasa bali mtazamaji. Nina enjoy sana pale unaona MTU kama Arfi akijiua kisiasa tena hadharani asipate wa kumsaidia wala kumlilia. Kila kitu kina mwisho na ukichezea fursa hairudi Mara mbili na kiburi si maungwana. Malipo ya usaliti ameyapata kweupee
 
Moses Machali je?? Reticia, Chiku na Shibuda hao vipi???

Machali bado yupo chadema hajahama kama walivyosema wengi kuwa kajiunga Act. Tena kafungua malalamiko makao makuu ya chadema kutotendewa haki kwenye zoezi la kura kwa wagombea kwenye jimbo lake la ukerewe. Hao wengine ni oil chafu. Sasa Arfi si aende Act kwani Zitto atamkatalia nao wanafahamiana anaweza kumpa kazi ya uenezi mkoa.
 
Machali yupo Chadema? Kumbukumbu zako zipo sawa kweli?
 
Machali yupo Chadema? Kumbukumbu zako zipo sawa kweli?

Tena zipo sawasawa kabisa na pia alishajitokeza kwenye mojawapo ya tv na kupinga kuhama chadema. Ukitaka kujihakikishia mwenyewe nenda tovuti ya bunge upate no yake ya simu ya kiganjani uongee nae. Ila ni kweli hakupitishwa kura za maoni jimboni kwake na ndio maana amekata rufaa.
 
Ni Machali au Machemli?
 
Amepishana na Gari la mshahara
Nilishawahi shuhudia mpuuzi mmoja mfuata mkumbo alimpasukia boss ktk kikao ambacho boss alikuwa akimalizia kwa kutangaza promotion na yeye alikuwepo ndani.
 
Njoo inbox tubet laki moja, kama zzk atashinda

Hapana tubeti hapa hapa na Invisible awe informed ili pesa hiyo ninapokupa au unaponipa ipitie JF. Wewe utupie laki na mimi laki kwa Invisible harafu utarudishiwa laki mbili kama utashinda.
 
Back
Top Bottom