Recent content by Kobossir

  1. Kobossir

    CPA Module F, Notes, Past Exams and Books- ACCA Materials

    Mkuu, material umeshayatoa huko drop box ama? May I have them, mimi mpya huku chief
  2. Kobossir

    Jamani kina mama kwanini mpo hivi?

    Inawezekana, mtoto wa kiume utachaguliwaje wa kuoa? Usipopigania ukipendacho, basi baki kutaka sukari ukisubiri kupewa chumvi
  3. Kobossir

    Jamani kina mama kwanini mpo hivi?

    Jamaa aache uboya, abebe mzigo aweke ndani au bado anakaa kwa Mama?
  4. Kobossir

    Humphrey Polepole ni nani?

    Nasikia kapewa akae alipokuwa amekaa Nape
  5. Kobossir

    Nchi 10 kati ya 14 za Ulaya zasitisha msaada wa kibajeti kwa Tanzania

    Sawa wanatupa misaada na inatusaidia lakini hawana mamlaka ya kutuamulia kiasi cha kutamani sisi tuwe tena watumwa wao. Ifike wakati tuwe na mipaka, waende tu. Muda mwingine hujui nguvu yako mpaka wakati wa udhaifu. Na waende tu ila wale wenye nia njem nasi, watakuja tu.
  6. Kobossir

    Kutoka na usaha kwenye uume

    Iliwahi kunikuta na nikatibiwa na dk mwanadada, aliiona naniliu, after a while tukakutana kwa mkutano, guess wharrr....alinipa ushauri zaidi (private)....
  7. Kobossir

    Jaji aliyemhuku kifo Saddam Hussein atekwa na kunyongwa

    Ulitaka mwenyewe kuwa njiwa, sasa unamuone wivu wa nini ng'ombe anapokamuliwa.
  8. Kobossir

    "Mume wa mtu mtamu bana" ...

    Katika mazungumzo yenu mliongelea chochote kuhusu UKIMWI na VVU? Nadhani ndo kitu cha msingi mngeanza nacho kabla ya kuongelea hayo ya kuparamia minazi ya watu!
  9. Kobossir

    Tume

    Jamaa: Hivi ni kweli nchini kwenu kila kitu mkitaka kufanya mnaunda tume? Kigogo: Sina Uhakika, lakini nitaunda tume kufatilia ukweli juu ya hilo!
  10. Kobossir

    Wasanii wa Bongo muvi wakiwa na uchungu katika msiba wa mwenzao

    Kweli wana uchungu hao? Sura zao zinawakana!!!!
  11. Kobossir

    Huu wimbo wa wagosi wa kaya vipi???

    Azungumziaye aina, anajua zote. Tuwe na nidhamu ya kudadavua vitu kwa upana wake, Mbona wa ROMA K.K.K hatuulalamikii au kwa kuwa ana kila dalili ya kuwa vidole viwili...
  12. Kobossir

    Huu wimbo wa wagosi wa kaya vipi???

    Kama wanaupiga kila siku nawewe unausikiliza kila siku....mna tofauti gani?
Back
Top Bottom