Huu wimbo wa wagosi wa kaya vipi???

Huu wimbo wa wagosi wa kaya vipi???

BIA BORA

Senior Member
Joined
Oct 21, 2013
Posts
144
Reaction score
164
mbo umejaa matusi ya nguoni na KISS FM wanaupiga kila siku
 
Aisee sikuwahi kuusikia ukipigwa radio, nilibahatika kuusikia siku moja kwa simj ya jamaa yangu hata hivyo kutokana na maeneo tuliyokuwa tumekaa niliona tu bado si mahala sahihi kusikiliza juo wimbo. Nashangaa kama unapigwa radio!
 
mbo umejaa matusi ya nguoni na KISS FM wanaupiga kila siku

Usiwe mgumu kushirikisha ubongo! Umeambiwa Mchukue Mkeo aje akalie kochi kisha wote mvue tofauti zenu akikisha unamuingiza ujumbe halafu tumia vidole kupiga mahesabu ya matumizi na tumia ulimi masikioni mwake ili maneno matamu yamuingie halafu kisha mmwagie ujumbe mzuri.
 
duh unaonekana ni mtam,ngoja niutafute
 
Usiwe mgumu kushirikisha ubongo! Umeambiwa Mchukue Mkeo aje akalie kochi kisha wote mvue tofauti zenu akikisha unamuingiza ujumbe halafu tumia vidole kupiga mahesabu ya matumizi na tumia ulimi masikioni mwake ili maneno matamu yamuingie halafu kisha mmwagie ujumbe mzuri.

Tukiwaza kibongo bongo ndio majanga. .
 
SIO MATUSI BHANA ACHENI HABARI ZAKO,umemeambiwa tabia ya kumnyonya mke wako ,sio vizur kwasababu mmetafuta wote
 
Usiwe mgumu kushirikisha ubongo! Umeambiwa Mchukue Mkeo aje akalie kochi kisha wote mvue tofauti zenu akikisha unamuingiza ujumbe halafu tumia vidole kupiga mahesabu ya matumizi na tumia ulimi masikioni mwake ili maneno matamu yamuingie halafu kisha mmwagie ujumbe mzuri.

kama ni mzuri sikiliza na mkeo na watoto wako hapo sitting room
 
Unaingiza pale...taratiiiibu maneno yenye hekima, maneno yaliyobarikiwa...
Unampeleka peleka mkeo mpaka kwenye kilele cha mafanikio
Alafu unammwagia.....unamwagia sifa..
Hahahahaha....huu wimbo bwana....
 
Hakuna tusi hata moja ni jinsi unavyotafsiri wewe, kwa maana maana ni jinsi uitafsilivyo maana
 
Kama wanaupiga kila siku nawewe unausikiliza kila siku....mna tofauti gani?
 
Azungumziaye aina, anajua zote. Tuwe na nidhamu ya kudadavua vitu kwa upana wake, Mbona wa ROMA K.K.K hatuulalamikii au kwa kuwa ana kila dalili ya kuwa vidole viwili...
 
Ni lazima mkazane tena mkazane na mkeo, sivyo kuna siku utamkuta mkeo anashikwa shikwa hadi analegea, anashikwa masikio mpaka mnaachana.
 
ntashangaa sana kama huu wimbo utafungiwa na kutopigwa redioni...nyimbo iko very clear na hamna tusi lolote..NI MAWAZO NA FIKRA ZENU MBOVU ZA KUTAFSIRI KISWAHILI FASIHI KILICHOTUMIKA KISHA KU RELATE NA USHENZI TULIOOZEA KUUFANYA.
 
Ni nyinyi ndio mnaoshindwa kukitumia kiswahili kwa ufasaha na mkaingiza yasiofaa kwenye maana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom