Ukipenda Penda Tu ,Ila Usitaraji kupendwa Pia.

Matarajio yanaumiza wengi sana ,kwa kutaraji unachotoa basi upate kama kile au zaidi ya kile ,na ndomana wengi Unapopenda basi unataraji kupendwa kwa kiasi kile au na zaidi,Ndomana inapokuja kinyume chake wengi wanaumia,
We penda Tu,Ikitokea umependwa pia basi huyo ndo wako na ni bahati yako,
Word!
Hakuna duniani watu wanaopendana 100 kwa 100 respectively. Lazima mmoja anamzidi mwenzake...wahenga wa kizungu wanasemaga
"Who ever says i love you first then he is the one who loves more"
 
Sawa mama !!
 
Matarajio yanaumiza wengi sana ,kwa kutaraji unachotoa basi upate kama kile au zaidi ya kile ,na ndomana wengi Unapopenda basi unataraji kupendwa kwa kiasi kile au na zaidi,Ndomana inapokuja kinyume chake wengi wanaumia,
We penda Tu,Ikitokea umependwa pia basi huyo ndo wako na ni bahati yako,
word
 
sijaona wa kunipenda tena, wacha nipende pesa sang,unajitoa kwa hali na Mali kwa mtu halaf anakuona mjinga, nawaangalia tu mnavyokimbizan na hii dunia, kuna watu machoz ya wapenz wao hayatawaacha wakae kwa aman
 
usikate tamaa maadamu uko hai basi yupo uliopangiwa na mungu
 
Back
Top Bottom