Recent content by koban

  1. koban

    Mkuu wa Wilaya Arusha tuondolee hawa Wezi

    Inamaana kina dosto wamerudi tena
  2. koban

    Mahakama yapukutisha mali za Bilionea Mrema, yaamuru kupigwa mnada

    Yani hakuna hata wazee wa ukoo kuweza kuwapatanisha Hawa vijana mrema.Yani wamekuwa na tamaa ya kijinga utafikiri cyo wachagga
  3. koban

    Ijue NGULELO -Arusha eneo linalosifika kwa makazi ya Wahalifu wastaafu

    Yani huyo jamaa kachanganya majina Kati ya ngulelo na ngalelo dabda ungesema wajanja wa sekei.enzi hizo
  4. koban

    Natafuta Partner tulime naye Kitunguu

    Duh..kilimo kinahitaji uvumilivu Tena Kama patina uwe karibu na Hilo shamba mkienda hatua kwa hatua ndio mtaona mafanikio.
  5. koban

    Wanajeshi wanavyowadhalilisha wachimbaji kwa kuwapekuwa sehemu za siri Mererani

    Ila nivema tukajaribu kutafuta haki ya Kila upande wakat was upekuz nakuzingatia hutu wa mtu
  6. koban

    Nyumba ya Historia mkoani Kilimanjaro

    Yani nimekumbukia mbali sana
  7. koban

    Wakati sakata la Ndege halijakwisha, Symbion Power wameleta RB

    Kama hii ndo stahili waliyogundua mbona tutafilisika ni vema tukawahita tuongee kwani mden hafungwii
  8. koban

    AU yatoa siku 60 kwa Jeshi la Sudan kutoka madarakani

    Hawana tofauti na waliomtoa sii vema jeshi likitawala Tuombee Sudan ipate amani
  9. koban

    Wanaume wengi wa Kitanzania hawajui kufanya Mapenzi. Na kuna Wanawake wanapenda Kubakwa

    K za Sasa Kila siku lazima zilale na kitu ndani Tena tofauti hivyo ukipiga show ya kivivu imekula kwako broo
  10. koban

    Arusha Usiku huu mvua kubwa na Radi

    Ila kwa kweli barabara ya arusha Moshi hasa maeneo ya karibia kingori kuendelea hakufai no mafuriko tuu
  11. koban

    Arusha Usiku huu mvua kubwa na Radi

    Ok ndo tunaondoka Sasa makamandaa
Back
Top Bottom