Demi
JF-Expert Member
- Nov 22, 2016
- 42,825
- 95,677
[emoji1]Acha uoga mtoto mzuri
[emoji1]Acha uoga mtoto mzuri
[emoji1]Duhh mwandiko tena shost
Yeye amesema Arusha, kama wewe uko longido ni mbaliWapi huko mkuu? Mbona sijaona hata tone la mvua huku niliko zaidi ya lightning?
Mbona umecheka mrembo!? Ila kiukweli unanipa wakati mgumu kukubali kua ww ni jike sjui kwa nn asee!!!!Haaaa a haaaa haaaa
[emoji23]hujasombwa na mafuriko leo!?[emoji1]
Kumbe nilidhani ni mimi peke yangu... ana mwandiko wa kiumeni kabisa yaniAje kwako. Hlf mi najuaga we ni dume
Yaan ni hatar Barbara ya Moshi arusha haipitiki tupo hapa kwa wasomali mabasi yote ya mikoani yamekwamaWapi huko mkuu? Mbona sijaona hata tone la mvua huku niliko zaidi ya lightning?
Mkuu angalia mkono wako wa kulia utaniona hali ni mbaya mzee babaYaan ni hatar Barbara ya Moshi arusha haipitiki tupo hapa kwa wasomali mabasi yote ya mikoani yamekwama
Mkuu angalia mkono wako wa kulia utaniona hali ni mbaya mzee baba
Tushapita Hapo kwa wasomaliWapi mkuu
Tafuta mama la kizungu huko mkae ndani m-hibernate pakiwa na snow. Unafeli wapi?Dah na miss chuga sana na mvua ya radi. Yani ndio ianzie Friday night umenunua na kuweka msosi na madikodiko yote ya weekend hamna kutoka nje hadi Monday morning huku hupo na demu wako ndani ya blanket ameegemeza kichwa kifuani mwako baada ya mechi kali akisikia mapigo ya moyo. Darini paa la bati likia kwa sauti.
Dah namkumbuka Asha nusu mrangi na mpare.
Haya maisha maamaee
CcYamakagashi
[emoji1][emoji1]Kumbe nilidhani ni mimi peke yangu... ana mwandiko wa kiumeni kabisa yani
.
Ni balaa yaani[emoji23]hujasombwa na mafuriko leo!?