malela.nc
JF-Expert Member
- Nov 24, 2013
- 246
- 337
Habari zenu wakuu, poleni kwa majukumu. Kwa masikitiko naleta kwenu taarifa za msiba wa member mwenzetu wa Jamii Forums, Ndugu Onesmo Simon aliekuwa akipatiwa matibabu hospitali Kuu ya Taifa Muhimbili.
Ndugu Onesmo alikuwa akisumbuliwa na tatizo la Homa ya Ini tangu mwezi wa pili mwaka huu.
Kwa kipindi chote hicho marehemu alikuwa akipatiwa matibabu katika hospitali ya Muhimbili, ila hali yake ilizidi kudhoofu siku baada ya siku hadi mauti ilipomkuta usiku wa saa 9 kuamkia leo.
Marehemu ameacha mke na watoto wawili(2).
Msiba utakuwa nyumbani kwa wazazi wake Korogwe. Kutokana na gharama za hapa Hospitali na kusafirisha mwili mpaka kijijini kwao Korongwe.
Hivyo unaombwa ukiwa kama member wa Jukwaa hili unaweza tuma Salamu za Pole na rambirambi kwa Baba Mzazi, Halotel 062233**** Simon Philipo
Mbele yake, nyuma yetu.