Mtoa mada ana point ya msingi sana! Kwa nini tukiri uwepo wa nyakati za shida? Mungu tuondolee shida katika ndoa zetu kwa jina la Yesu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulichokiandika ni sahihi. Kama unataka kujifunza programming languages zaidi ya moja ni vyema beginner akanza na C. Hii ndiyo language ambayo syntax yake inafanana na languages nyingi.
UDSM haitokei degree ya MD. Labda ulinamaanisha MUHAS ambao wanatumia hospital ya Muhimbili. Kwa taarifa yako tu, hiki ndicho chuo kilichotoa watumishi wengi kwny sekta ya afya! She will never do that even if the government does not want the university to use the hospital.
Ipo maktaba ya UDSM pale mlimani. Kama utaudhuria maonyesho ya TCU 20-22 July 2016 pale Diamond Jubilee unaweza kuiona. Hii thesis yake huwa inakuwa kwny hayo maonyesho kuonyesha moja ya thesis zao.
1. Tafuta vyanzo mbalimbali vya mapato, hakuna mtu anayetoka kirahisi kwa kutumia chanzo kimoja
2. Usiogope mikopo
3. Ujifunze kubana matumizi - siri kubwa ya kutoka ni kubana matumizi
4. Mtangulize Mungu katika kila jambo
Itarudisha heshima ya shule za umma kama vilivyo vyuo vikuu vya umma. Inawezekana kama serikali na wizara zitachukua hatua hiyo kama waziri alivyosema. I will pat her back when she implements the plan!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.