unajua nini bhana jamaaa pale ayuko tena dat akaamua kumuo ticha na leo wana mtoto so we kama umempenda we mueleze jamaa kuwa we unataka kumuoa yule binti coz inamaana yeye ataolewa au niaje soo kama unapenda mzigo chukua vuta ndani mzeee ata akimind atajua mwenyewe coz wakati anamsaliti alikuwa...
Yap anaweza kuwa sahihi coz sie wanaume tulio wengi si waaminifu ata tukipendwa vip hatuwezi kujichunga nani mapa chache sana kuthamini ndoa zetu au wapenzi wetu bt kama ume mpenda nae anakupenda sana we subiri tu kwani nini be coll bro
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.