Salaaam wana jamvi!!!
Kuna siku mtoto alikua analia usiku, alilia kwa muda mpaka usiku sana, baada ya kubembelezwa bila mafanikio mm nikambeba nikamchapa kidogo miguuni (chapa ya kitoto) akanyamaza baada ya muda mfupi na akalala.
Sasa tangu sku hyo mtoto akiniona anakimbia na kuanza kulia, hata kama alikua anacheza anaacha kabisa, hii kitu inaninyima amani sana.
Naombeni msaada wenu ktk hili, ni vp naweza kabiliana na hii hali?
Mtoto ana umri wa mwaka 1 na nusu
Mtoto hachapwi .Sijawahi kuchapwa na wazazi wangu,stop abusing your own child .its a crime wewe ni baba ake ,alikuwa analia kudeka wewe ukamchapa .Salaaam wana jamvi!!!