Warning

Warning

kwa wale machali wangu wa arusha,kuna jimamaa la kizungu jina kapuni viwanja vyake alihamis via via jmosi masai na j2 jioni utalikuta la fiesta ppf,jimamaa lina penda vijana mbaya,na mashaka ni mgonjwa ana tembea na vijana watano hadi sita kwa siku lina hela mbaya na linahonga vibaya.nashindwa kuelewa ni ugumu wa maisha au nikupenda bwerere vijana wengi wa arusha wanatega wazungu tu...asilimia kubwa ya wazungu ni H.I.V POSTIVE kule kwao wamesha wastukia so wanakuja africa kutafuta vijana wa kufa nao....OGOPENI WAZUNGU WA VIA VIA
Tena anapenda wenye rasta kama wewe. Nadhani wewe ni mmoja wao. Kapime!
 
Njoo shosti, vipo vibabu vya kizungu, kichina na hata kimatumbi. Ukifika rose garden kuna meza iko kama ya kikao cha harusi hapo kuna vibabu vimevaa linen nyeupe utasema wakongo wa saluni. Vinahonga ila kinga utajitememea manake wote waasirika (sijasema waathirika).
Uwiiii.......nakuja Dar......huku Chugga vibabu vigumu sana kuvipata.....na nataka nianze matumizi ya Obagi......bila kibabu wakwetu itakula kwangu......
 
Clock tower wameja kibao pale wanajifanya wanauza ramani na picha za utamaduni kumbe siyo!
 
kazi kwa wafuga rasta maana hawa wazungu wamezidi kutuchukulia vijana wetu!
 
Hebu kwenda zako unaleta mada za kivumi zaidi hazina prove usifikili UKIMWI ni kama chogo kila mtu analiona hata wewe unaejiona mtulivu unaweza kuathirika.Daaamn....

Billie mbna mbshi sana au na ww tayar ushaonja sasa unataka kujiaminisha arif; pale kama umepta ujiandae kwnda kuchukua vdonge miaka mi5 baadae chalii
 
Mwanangu umefanya poa coz vijana wengi wasiku izi tunapenda mayombo sana na mwisho wa siku tunaishia kufa na ukimwi au maradhi big up sana?
 
Hebu kwenda zako unaleta mada za kivumi zaidi hazina prove usifikili UKIMWI ni kama chogo kila mtu analiona hata wewe unaejiona mtulivu unaweza kuathirika.Daaamn....

hahahaaaaa

Mkuu mie si mtulivu hata kidogo

wewe unaomba ushahidi kwenye UKIWMI... kweli kabisa unaomba USHAHIDI??? umesahau kwamba hakuna alama na huwezi kumtambua kwa kumtazama??

You just have to take the warning and use it appropriately mkuu... usiwe kama CCM wanaoomba ushahidi kila wanapoambiwa kuna tatizo

BTW, hapo kwenye red nadhani panakuhusu mwenyewe....

Hapo kwenye blue ndio pwenti, ati unaomba ushahidi huku ukijua hakuna alama

Daaayymn wewe, wakwenu wote hadi na wanaokuweka mjini
 
Na yale majimama ya kibongo yenye fedha je??? Huwa yanaoendelea viwanja gani hapo AR?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
nenda first and left sakina.....
Na yale majimama ya kibongo yenye fedha je??? Huwa yanaoendelea viwanja gani hapo AR?

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom