Wanamke wenye matiti makubwa wana mvuto katika mapenzi?

being satifsied is more pschological than real! There are people who like small breasts and those who like big,liking is another way of getting satidfied.thats why you never seen a woman missinf a spouse because of the size of breasts, since different people like different shapes.
 
kwa wanaume wengi hatujui mwenye maziwa makubwa au madogo ni mzuri kwa kuyatomasa au kuyanyonya ila inatakiwa mwanamke mwenyewe ndo aeleze ni kiasi gani anaenjoy kama akinyonywa au kutomaswa lakini wengi wao hawasemi sijajuwa wanachoogopa nini?

akina dada na mama mnisaidie Na WANAUME pia semeni yupi mtamu

Kwa kunyonya maziwa madogo ndiyo bomba sana, maziwa makubwa ni fresh kwa kutomasa.
 
maziwa gani hayo?
au hili tunalogombania na malawi?
mimi napenda ziwa victoria...kwa sababu ni kubwa.
 
Madogo na yenye CHUCHU ndefu matamu kunyonya, But either way Binti pia awe comfortable kunyonywa hayo matiti..Kuna rafiki yangu Mimi alikuwa na demu na matiti ya kunyonywa but kabinti kakawa kanasema eti anamtekenya so akawa hapati flavor!
 
Ziwa Dogo lenye kipenyo kirefu ndio zuri...I think lake Rukwa ni nzuri si ndio land locked lake sijui..Au ile ni swimim pool?mhh nimechangia tu mimi sijui bwana..Am sorry my wife ukiona hii post!
 
Madogo na yenye CHUCHU ndefu matamu kunyonya, But either way Binti pia awe comfortable kunyonywa hayo matiti..Kuna rafiki yangu Mimi alikuwa na demu na matiti ya kunyonywa but kabinti kakawa kanasema eti anamtekenya so akawa hapati flavor!

Mbona unazunguka zunguka mkuu? Sema wewe mwenyewe ndio ulikuwa hupati flavor na kale kademu kako!
 
Ngoja nipite taratibu. Lakini mbona tukiangalia wanawake wengi wana matiti ya kati (makubwa kiasi) na wameolewa, na wnye hayo madongo nao wengine hawajaolewa. Suala hili liko kwa mpendaji zaidi.
 
Nimekuwa nikiona wanawake wenye matiti makubwa je wanamvuto kwenye mapenzi je watu wao ulidhika na hali waliyo nayo?

Mmmh! Nahisi kuna mahali umeona unataka ku-Test weye! Nenda kajionee mkuu, practical ina majibu yoteeeeeee
 
Back
Top Bottom