Recent content by Klauz

  1. K

    JamiiForums Tanzania Squid Game English version?

    Uwe na U-torrent, then fungua hii link https://eztv.re Uta-search series yako hapo then download!! Au link hii https://pirate-bays.net/torrent-search Then tafuta series yako hapo utaona na maelezo mengine kuhusu language unayotaka Hii ni Eztv!! Hii ni pirates bay
  2. K

    JamiiForums Tanzania Msaada; Nawezaje pata kwa kununua kitu (smartphone) nilichokiona Ebay na niko Tz?

    Nenda sheli ya Puma Energy Masaki karibu na ilipokuaga Maisha Club zamani, pale kuna Ofisi za Easy Buy!. I think wanadili vilevile na e bay na Online Shopping nyingine
  3. K

    JamiiForums Tanzania Vyombo vya habari Tanzania vinatumika kuihujumu CCM?

    Lakini wanachoonesha ni cha uhakika! Kama unataka habari mbofu mbofu kaangalie TBC
  4. K

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa anastahili kuheshimiwa

    Na wewe unakaribishwa!
  5. K

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa Baraza Kuu CHADEMA - Agosti 03, 2015

    Ndio kujiuzulu huko???
  6. K

    JamiiForums Tanzania Edward Lowassa hatoruhisiwa kugombea Urais!

    Kiswahili chenyewe kibovu
  7. K

    JamiiForums Tanzania CHADEMA waita Wahariri - Jumanne, 28 Julai 2015

    Angebaki alaf ikawa amepitishwa CCM ungempigia kura???
  8. K

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nilimtelekeza mke wangu, nimerudi nimekuta rafiki yangu kamuoa

    Duuh! Pole sana Mkuu! Nakutakia mafanikio katika kupigania haki ya wanao!
  9. K

    JamiiForums Tanzania Kwanini bongo movies hawawezi kucheza muvi za action kama Jet Lee?

    Tatizo kubwa na uduni wa Teknolojia mkuu, hata hivo kwa ninavyojua movie za 'aksheni' (kama tunavyoziita) ni zinakua na gharama kubwa katika production zake, vilevile vifaa ambavyo watakua wanahitaji katika kutengeneza movie kama izo ni shida!! Nadhani huo ndo uelewa wanngu kidogo katika suala...
  10. K

    JamiiForums Tanzania Battle: Kwa mara nyingine tena wale mahasimu wawili wa Bongofleva nchini wamekutana AFRIMMA Awards

    U go vote, wat mater most ni Ushindo uje Tanazania, i dont care nani atachukua btn them, ila uje Tanzania..
  11. K

    JamiiForums Tanzania Said Arfi achukua fomu ya Ubunge kupitia CCM

    Kitu ambacho nimegundua ni kuwa wanasiasa wanataka power kwa namna yeyote ile, akiona upepo huku unaenda antiklokwise anatafuta njia aendane nao sawa,sasa ndo hapo unaona anahamia katika chama kingine ili aweze kumentain power yake!!..
  12. K

    JamiiForums Tanzania Updates: Mchakato na Matokeo ya kura za maoni ya Ubunge CHADEMA nchini kote

    Na wale waarabu na wahindi wa sisiemu hata kiswahili ni shida kuzungumza inakuaje
  13. K

    JamiiForums Tanzania Mtu akifa Roho yake huenda wapi?

    Mkuu kuzaliwa kama Mbwa, Paka au Panya ni adhabu au? Coz naona kuna mbwa wanaishi maisha mazuri wakiyofautiana na wengine, sasa hawa wanaoishi maisha mazuri wao pia ni adhabu kama walivyo waishio ya shida au vipi
  14. K

    JamiiForums Tanzania Star TV, UKAWA wapo Millenium Tower Live

    Sidhani ka una mke atakaemvutia Padre
Back
Top Bottom