lipumba ata mm ntampa
Na kuitia hasara serikali kwenye kesi ya samaka wa Magufuli. Wachina walishinda kesi na mahakama imetoa amri serikali iwalipe fidia.
Mkuu wazo la kuungana nalikubali vizuri kabisa, ila hebu elezea hapa, kwa chaguzi zote walizoshiriki ni kuwa Dr Slaa alipata kura nyingi zaidi ya Prof Lipumba. Sasa ni kitu gani kinampa Lipumba added advantage juu ya Dr Slaa?
Hiyo ni habari yako na wazazi wako sisi UKAWA hatuogopi kileo chochote tunakanyaga tu
Maana ni Lipumba tu aliyesoma huko Ukawa. Wengine wote ni darasa la saba dropoutskwa namna ccm walivyopoint hilo lijamaa pombe .nashaur awekwe lipumba then vyama vyote viungane kumpigia kura ataleta ushindani
Wakimpitisha padri slaa,basi wake zetu tutawafungia chumbani
Kuna tetesi kuwa Padri slaa kaiba mke mwingine
mbona husemi magufuli alivyomjaza mimba mwanafunza wa Geology pale UD? hivi yule demu wake wa kule kunduchi mtongani karibuna ile shule ya chekechea kashamhamisha pale ? itafahamika tu mwaka huu