Recent content by KIZIWANDA

  1. K

    Bungeni: Wanne watajwa kuwa 'watovu wa nidhamu'

    ukishindwa kupanga umepanga kushindwa !!!!!!!!!!!!!!!!!! hakika Spika ameshindwa kuongoza bunge inauma sana hoja za msingi kutupwa kapuni kwa maswala ya kishabiki na wajue kwamba ulimwengu umebadilika sio kama kipindi cha nyuma watu wanajua mengi kwa sasa uonevu una mwisho kama hamuamini muulize...
  2. K

    MKE kutoa RUSHWA YA NGONO KWA DOCTOR ILI KUMUOKOA MUMEWE

    yote ni mtihani tu ushindi Mungu anajua yeye !
  3. K

    Urais CHADEMA it's like a death sentence!

    hivi ccm nbona mna maneno, wenyewe kwa vijembe mnaongoza tukiangalia tukio linalokuja la 2015 mnababaika kwa kuwa na majungu mnawasabisha LOWASA NA SITTA kwa kutokuwa na amani mbona hilo hamlizugumzii na hata MWAKYEMBE akawa hatiani hivi hili hamlioni ?
  4. K

    Dr.Slaa ndani ya Mwanza.

    Hi ni kali kila jambo wakati wake
  5. K

    TBC1 bora muache kabisa kusoma MAGAZETI

    msimlaumu mtangazaji muulizeni kilochompata TIDO MHANDO jamaa anaepuka malumbano na waajiri wake tumia TV nyingine
  6. K

    Uonavyo: Kati ya prof LIPUMBA na Dr SLAA ni nani zaidi?

    Lipumba alishawah kukaa lkulu miaka kumi kama mshauri wa rais na ndoo nchi ikaenda vibaya sana na kipindi mwinyi alikimbia lkulu, hivyo kama alishindwa kumshauri na mfumuko kama ule ukatokea je leo 2kimpa urais itakuwaje ? Tz 2we makin sana. Slaa ni jembe kiukweli 2uache unafik jaman
  7. K

    Vincent Nyerere ampa Mkapa vidonge stahiki

    Kazi ipo best kila kitu nje
  8. K

    CHADEMA, toeni tamko kuhusu nyongeza ya posho

    Tamko ni muhimu sio kwa wabunge tu hata na zile roho zinazonyakuliwa na shetan kizembe pale MUHIMBILI
  9. K

    Ole wako Tanzania, viongozi vijana ni wanafiki haswa Zitto: Posho alisema hivi...

    Haya bwana ila sio vizuri Ndio yako na iwe ndio na hapana yako naiwe hapana na ( KAMA UKIWA KIGEUGEU WA MANENO HUWEZI KUFIKA POPOTE)
  10. K

    waziri wa afya afanya ziara muhimbili

    Sio vizuri kukejeli watu wa kifa inauma sana
  11. K

    Maandamano maandamano maandamno

    Tanzania ni nchi kama nchi nyingine lkn ni watu wa vivu sana na hata hawafikiri kabisa na sasa ngoja 2one mwisho wake ni nini (VIONGOZI WETU NI WAVIVU SANA WA KUFIKIRI ) Inauma sana (let we see)
  12. K

    Hivi kwa nini sura zetu hazifanani na wamarekani weusi?

    Tusinge kuwa tofaut 2ngetofautiana vp ? You must know ze power of identity through colour and appearence
  13. K

    Je, ni halali kwa daktari kuanzisha mahusiano na mgonjwa wake?

    Ni vizur sana kila mtu kujua kwa nini yupo duniani na nadhani kila mtu akijua ni kwa nini yupo lazima uwe na ETHICS za kazi yake 'madakitari ni watu muhimu sana' vitu kama hivyo vikiruhusiwa ni hatari sana ktk maisha ya watu na mwisho wake ni mbaya sana !
  14. K

    Simulizi: Zawadi - Sehemu ya 1-7

    it is good stori but very long "imenifundisha sana" keep it up
  15. K

    Movement: Tunataka Katiba Mpya Tanzania

    Ni vizuri kwa mitazamo yenu wanajamii lkn kwa nini kila kitu ni vigumu kukipata Tz na ni nani aliyetupandia hofu Wa Tz ? Mm nafikiri ni sahihi kabisa kuwa wale waliotoa masomo ya siasa, uraia, pamoja na sheria kuanzia chini ndio wenye makosa kwa sababu watu hatujiamin tunacho kidai na hao...
Back
Top Bottom