Yaani Madakitari wamefanikiwa kuitisha mgomo wa nji nzima; na sisi wananji tungelikuwa na mshikamano maandamano nji nzima sidhani kama kuna bomu la machozi litakaloruka.
mbona Serikali walishindwa kurusha mabomu au kutumia nguvu katika Mgomo wa madreva wa malori uliofanyika Mwezi October 2011 na huu wa mwezi january 2012???
mwezi october Kule Tunduma Polisi walikimbia pamoja na gari lao la maji washa na mabomu yao, wakawatishia waandishi wa habari wasitoe habari hiyo pia na picha zilizoonyesha polisi wakitoa mbio zisiwekwe katika magazeti. lakini madreva walikuwa na ushirikiano.
TUKIAMUA TUNAWEZA KUMUONDOA ADUI HUYU MNYANYASAJI NA MUUAJI WA RAIA!!!!!
MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
Hakika muda ukifika hakuna kurudi nyuma, wadau wana wataifa wapenda maendeleo, wapendahaki, wanaharakati, wanaJF, WANAFACEBOOK, WANACCM, WANACHADEMA, WANANCCR, WANACUF, wanamapinduzi wake kwa waume tujitokeze ijumaa saa 3 asubuhi katika maeneo haya mlimani city, ubungo mataa, tazara, magomeni, sayansi, mbagala mwisho, mtoni kwa azizi ally, kimara mwisho kupinga ufedhuli na ubazazi wa nchi hii mimi na mwanangu tutakuwepo, hakika sina cha kupoteza kwani baba na babu wamepoteza miaka 50 iliyopita ni waktai wa kuandika historia mpya.
Ukoloni mamboleo hauna nafasi Tanzania.
Hata kuwasuport doctors 2meshindwa!Wananchi wa tanzania wana upungufu wa akili mwilini! Mbunge analipwa 330 a day?mpo mmenyamaza?umeme mmepandishiwa mpo mmenyamaza?viongozi wanakula nchi mmpo mmenyamaza?dah hii shida kweli na kamwe hamuezinkwenda mahala, mtakuwa watu wa kuachwa kila sector!