Recent content by kizimkazi

  1. K

    Kodi za line ya sim za mikononi zingesaidia

    Uko sahihi mkuu na hicho ndio nilichokiona, na ndio nikasema kuondoa kwao si kuwahurumia wananchi ila kuogopa kuunganisha nguvu za watu wa kuwapinga. Na ndio nikasema kodi ingeendelea kuwepo basi ingesaidia kuwaondoa hawa watawala wala kodi.
  2. K

    Kodi za line ya sim za mikononi zingesaidia

    Nakubali sana kwamba zitakuwa na maumivu kidogo,na hazitashinda maumivu ambayo tunayapata kwa kodi zengine, Ila hizi za sim zigekuwa zinalipwa na karibu kila mwananchi,kwakuwa watumiaji wa sim ni watu wa aina zote. Kwa sasa kodi zinalipwa na matabaka mawili tu ya mijini, 1.wafanya biashara...
  3. K

    Kodi za line ya sim za mikononi zingesaidia

    Wanajmii,... Kodi za line ya sim zingesaidia sana kulikomboa hili taifa kutoka kwenye muelekeo uliopo na kulipeleka katika muelekeo sahihi, kwakuwa ni mazoea yetu kuona kwamba hatuguswi moja kwa moja na kodi,inakuwa vigumu mtu kuona kodi yake inaliwa au inatumika sivyo Tumeishi muda...
  4. K

    Ludovick Joseph akamatwa na Polisi...

    Mkuu uko sahihi sana,inawezekana kabisa wanaacha clue ili wafutiliwe. Pia polisi hawajawa na uzalendo huo wa kukamata ki dhati isipokuwa waamrishwe. Hata hii video huyo mzungumzaji anaonekana anaangalia kushoto na kulia akikwepa direct eye contact na camera,maswala ya kujiuliza: 1, camera...
  5. K

    Ninawezaje kununua haki ya kumiliki mkataba wa nyumba za nhc

    mkuu,ustaadh,sheikh,kumbuka yuko tanzania huyo!!!!!!!!
  6. K

    Natafuta gari ndogo ya kutembelea

    nimetoka kuingalia leo moja kali sema maelewano hayakufikiwa. anayo swift. mpigie sim 787 611 622 au754 761 577.
  7. K

    Kigamboni New City Master Plan

    Ahsante mkuu,na nimeelimika mnoo!.ahsante mod kwa kuniunganisha huku pia. haya mambo sijui yatakuwaje.naona invisible kashindilia msumari.
  8. K

    Kigamboni New City Master Plan

    waheshimiwa, nafikiri itakuwa nimepitwa kama iliwahi kutolewa hapa.hivi huu mpango tunaosikia kuhusu kujengwa upya kigamboni, na wenyeji kuhamishwa,hatima yetu nini? maana hela zetu za misimu na mpaka sasa hata banda la uwani sijamaliza. na huenda vikangia vijisenti vingine ni busara kuendelea...
  9. K

    Mafia: Tumeibeba sana CCM sasa tutaiacha rasmi

    au uliogopa muhali ukienda usewe utakosa madafu? madafu ata hapo si yapo bw?
  10. K

    Mafia: Tumeibeba sana CCM sasa tutaiacha rasmi

    wewe bw kijana, unafaa, elim inatosha ujanja unatosha, ukoo uaofahamika kumbuka (sokomoko).angalia ile mafia documentary, wanajifanya wanatoa msaada vyandarua na uwanja wa mpira. sijui lakini mimi sijaona cha msingi pale. labda walichofanya ni kupata picha za video za kuwafanya waendelee...
  11. K

    Mafia: Tumeibeba sana CCM sasa tutaiacha rasmi

    wewe mzizi ndio asili. tawi linaweza kukatwa au kuhamishwa huyo ni mwana mafia halisi.
  12. K

    Mafia: Tumeibeba sana CCM sasa tutaiacha rasmi

    Bw mzizi, ahsante kwa kutujuza mimi nilikuwa sinalo hilo,ila mafia mmbunge tuliyenaye ni mbumbumbu,ki upeo hata uwezo wa akili yake,analaghai kwa salam alykum na kujifanya muungwana. sasa maji yale pale hayatoshi hospitali, hayatoshi majengo wala kurungeni na msitu ndio huo tu unaotegemewa...
  13. K

    Mafia: Tumeibeba sana CCM sasa tutaiacha rasmi

    bw mzizi, hapo umenigusa kidogo.inamaana wametoa pale bondeni kwa mkuu wa wilaya.? ni muwekezaji anae wekeza nini?
  14. K

    Exclusive Pictures: SeaFront- Imeuzwa nayo!

    kweli sana mkuu inatia hofu kila kitu wawekezaji.kuna khatari tukafikia mahala tukaaachia wake zetu kwa wawekezaji wawekeze ili wazaliwe watoto bora. na sijui kama haijaanza hiyo kwa viongozi wetu kuachia wake zao kwa wageni ili wawekeze mbegu bora.
Back
Top Bottom