Ninawezaje kununua haki ya kumiliki mkataba wa nyumba za nhc

Godwine

JF-Expert Member
Jan 15, 2010
1,371
281
Kuna mtu anataka kuniuzia haki ya kukaa kwenye nyumba ya NHC yani mpangaji huyu anataka kutoka kwenye nyumba hii sasa anahitaji nimpe mil 5 ili aniachie haki ya kuwa na mkataba wa kuwa mpangaji wa NHC , sasa wakuu mnaojua sheria naomba ushauri namna gani wa kutekeleza zoezi hili
 
Nakushauri uangalie kwanza nkataba wake na NHC kama unamruhusu ku-sub-lease kama haruhusiwi achana nae utaliwa unless uwe na magumashi unayoweza kufanya ku-validate tenancy yako
 
Nakushauri uangalie kwanza nkataba wake na NHC kama unamruhusu ku-sub-lease kama haruhusiwi achana nae utaliwa unless uwe na magumashi unayoweza kufanya ku-validate tenancy yako

poa mkuu nimekupata
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom