Ni heri kusema unaisifu au kuishukuru serikali kwa kuleta maendeleo au kutenda jambo Fulani,kichefu kichefu unakuta kiongozi anasimama jukwani eti eti rais Samia Suluhu Hassan Katia kiasi Fulani kana mwamba kazitoa mfukoni mwake,ni ujuha na kujipendekeza kulikopitiliza
Hii kesi iendelee haijalishi kuwa Mbowe atafungwa au la tunahitaji kuweka record sawa tupate kujua madhaifu ya mahakama zetu na ubovu wa serikali ktk kuingilia mihimili mingine,ni kesi yenye mvuto mkubwa kuwatoa mawakili eti kwa kuwa rais keshamhukumu mshtakiwa hautasaidia acha tuone mbivu na...
Ndugu kesi hii siyo mpango wa samia huyu kuingizwa mkenge bili kujua,kesi hii muasisi wake ni magu ndiyo washtakiwa wa awali ambao samia anadai walishahukumiwa walikamatwa yangu uongozi wa magu mwaka jana
Sasa unataka chadema waive yapi yaliyo mazuri ya CCM? Maana sifa zote chafu nchini zinaihusu CCM kubambikia kesi watu,wizi wa kura,kuua,watu wasojlikana na mengi mengine hivyo ijifunze lipi Kati ya hayo
Mleta mada unachekesha Sana hivi ni kweli kazi ya upinzani kwa mujibu wa katiba? Wacha wafanye kazi yao iliyoanishwa halafu uwakosoe kwenye utendaji kuliko leo mnawakwamisha kwa makusudi ili waonekane hawajui wanachokifanya.
Ilipita maeneo ya posts Hadi kariakoo jiji limeaharibika hii Vita ya wamachinga itawashinda,kosa lililofanywa na hayati magu litaigharimu nchi kwa muda mrefu lisipochukuliwa kwa umakini litahatarusha hata amani
Amani ya nchi inawekwa rehani pasipo sababu zozote,hizi chuki zinazopandikizwa na utawala kupitia jeshi la Polisi zinasadikisha kuamini ufa mkuu katika taifa.
Inapandikiza chuki za kiimani ajabu hakuna kiongozi wa juu anatolea ufafanuzi Wala tamko,je kwa nini kuendelea kawaamini viongozi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.