TANZIA Padre Paul Haule ameitwa nyumbani kwa Baba wa Milele

Linguistic

JF-Expert Member
Mar 16, 2021
3,671
8,237
Mhashamu Askofu Mkuu Jude Thaddaeus Ruwa'ichi wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam anasikitika kuwatangazia kwamba leo tarehe 18/08/2021 saa 10.30 jioni hii mpendwa wetu PADRE PAUL HAULE ameitwa nyumbani kwa Baba wa Milele.

Akiwa katika matibabu ktika Hospitali ya Kardinali Rugambwa Ukonga.

Tutataarifiwa taratibu zingine za mazishi zitakapopangwa. Tumuombee apumzike kwa amani.

Pd. Vincent Mpwaji
Chancellor.

Marehemu Alikuwa Mkurugenzi wa Tumaini Media

Screenshot_20210818-174903.jpg
 
Back
Top Bottom