CHADEMA kufanya mkutano na waandishi wa habari Agosti 17

Hizi ”taarifa kwa uma“ zimekuwa nyingi mpaka tunawachoka sasa,afu mbaya zaidi mnachoongea hata hakieleweki
Ni wazi kwamba wewe siyo mlengwa wa hii press. CHADEMA siyo kama ccm. CHADEMA ni chama cha siasa. Ccm wana wasemaji wao ambao ni polisi. Ccm imekufa, CHADEMA ipo hai, lazima ipumue pamoja na kubanwa kila kona. Watanzania wanasubiri kwa hamu taarifa za leo toka kwa makamanda wao
 
Maskini CHADEMA kila siku press hadi mnatia aibu

USSR
CHADEMA Aluta kontinua! Iwe mahakamani, iwe kwa press, iwe mijadala ya cyber, iwe Maria spaces. Ccm imekufa kisiasa. Sirro ndio katibu mwenezi
 
Hizi ”taarifa kwa uma“ zimekuwa nyingi mpaka tunawachoka sasa,afu mbaya zaidi mnachoongea hata hakieleweki
Kama zimekuwa nyingi wewe zinakuwasha nini?au jumbe zilizomo ndani yake ni msumari wa moto kwako.
 
CHADEMA Aluta kontinua! Iwe mahakamani, iwe kwa press, iwe mijadala ya cyber, iwe Maria spaces. Ccm imekufa kisiasa. Sirro ndio katibu mwenezi
Hadi waite maji mma,nakujua ya kuwa maharage ni mboga.
 
Mnashindwa hata kuendesha pages zenu kwenye social medias huyo dikteta mtamshindaje? Social medias ndiyo njia nafuu na haraka kuwafikia watu wengi katika age hii, nyie bado mnapambana kufanya mikutano ya hadhara, njia iliyopitwa na wakati na expensive! Angalieni accounts za wapinzani wenu kwenye mitandao, zipo very active! Hata ukifananisha CCM App na CDM App ni mbingu na nchi, CCM App wanaupdate mara kwa mara, CDM App ipo vile vile kila siku, miambiwa mnaita watu BK7 and Lumumba
Haupo sawa kichwani, nguvu kubwa inayotumiwa na dola kuidhibiti CDM inadhihirisha ukubwa wa CDM
 
Haupo sawa kichwani, nguvu kubwa inayotumiwa na dola kuidhibiti CDM inadhihirisha ukubwa wa CDM
Hahaha! You are sick! Kwa hiyo ukidhibitiwa na ukaufyata then wewe ni mkubwa! Wakubwa huwa hawaufyati, wanapambana mpaka kieleweke, siyo mikwara kidogo ya akina Sirro mmeshaacha kila kitu, no makongamano ya katiba, no mikutano ya hadhara, no maandamano!! Mkiti wenu yupo ndani mwezi sasa nyie mnapiga porojo tu and bado mnajiita wakubwa!!
 
Haupo sawa kichwani, nguvu kubwa inayotumiwa na dola kuidhibiti CDM inadhihirisha ukubwa wa CDM
Kamanda Sirro akitoa tamko moja tu la mkwara inakuwa imepita hakuna kinachoendelea tena mipango yote ishavurugika, sasa hapo mkuu utasema wanatumia nguvu?
 
Back
Top Bottom