Recent content by Kiwike

  1. Kiwike

    JamiiForums Tanzania Majibu ya usaili WCF na LAPF

    [emoji2][emoji2][emoji2] nilifanya pepa la LAPF....Aisee ina maana nimedunda[emoji23][emoji23][emoji23]
  2. Kiwike

    JamiiForums Tanzania Sijui nipo mwenyewee, sijawahi sikia sauti ya mzee Bakhiresa

    Anaongea ila hana kimbelembele...yy na biashara zake tu.
  3. Kiwike

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpangaji aliyehamia anaanika chupi zake nje ananitesa

    Ukiona mwanamke anaanika chupi nje...hiyo ni dalali ya USAFI....huyo ni msafi
  4. Kiwike

    JamiiForums Tanzania Ubongo wa mwanamke unavyofanya kazi

    Kweli kabisa
  5. Kiwike

    JamiiForums Tanzania Nash Emcee anatualika tumpokee 'shujaa'. Ni shujaa gani huyo?

    Hili ndio jibu la muulizaji
  6. Kiwike

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mume tuoane

    Hahaha [emoji2] JF kuna raia wanachekesha sana
  7. Kiwike

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta mume tuoane

    Hivi kupenda ni kitu rahisi sana?...eti nitampenda kwa moyo wangi wote.
  8. Kiwike

    JamiiForums Tanzania Uhusiano kati ya mimba ya mwanamke na kitambi cha mumewe...!!!

    Hahahaaa sio mzima wewe[emoji23][emoji23]
  9. Kiwike

    JamiiForums Tanzania Antony Diallo anena kuhusu yanayoendelea nchini

    Sasa mbona haonyeshi vyeti na uthibitisho wa majina yake??? Ili hili jambo lipite kwani kuna ugumu gani?? Umejiona una akili sana ilhali kwenye hayo mapupu yako uliyoyaandika kuna udhaifu mwingi... Acha kutetea ujinga
  10. Kiwike

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Movie gani ya mahusiano, mapenzi imeshawahi kukufurahisha?

    Wahindi ndio wenye wenye story movies kali za mapenzi...zifuatazo ni ni baadhi tu ya movies ambazo u must watch before u die...(mentioned randomly) 1.Dilwale dulhania le jayenge ... 2.Mera Mann ... 3.Humko tumse pyaar hai.... 4.Mohabbatein 5.Dil tu pagal 6.Kabhi alvida na kehna 7.Rab de badi...
  11. Kiwike

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Movie gani ya mahusiano, mapenzi imeshawahi kukufurahisha?

    Hahahaa sijui wanataka kukunyima nn hao jamaa[emoji2][emoji2]
  12. Kiwike

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wasiopenda kuandaliwa kabla ya kufanya mapenzi wana tatizo gani?

    Unataka Romance ,je kinywa chako safi?...huenda kinywa chako kinatema kama choo cha kulipia cha ubungo...wakati mwingne uchafu huchangia m.mke akatae kumuandaa.
  13. Kiwike

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa E FM Majizo kufanya Press conference muda mfupi ujao

    Yeye kila mtu rafiki yake...ana shobo kinoma yule mzee
  14. Kiwike

    JamiiForums Tanzania Ali Kiba studio, AY muziki, Diamond biashara

    Nakurekebisha wimbo wa nagharamia na kajiandae sio wimbo wa kushirikishwa ni wa kushirikiana....inaonesha we ni mjuzi wa kuchambua lakini vitu vidogo kama hivi hauvijui...Pole sana.
  15. Kiwike

    JamiiForums Tanzania Aje Remix Official Video

    Alikiba yupo tofauti....kama ushazoe video zilezile zenye magari ya kifahari ,majumba na wanawake waliovaa bikini na kutingisha makalio huwez kumuelewa... Video nzuri sanaa...
Back
Top Bottom