Kuwa na kitambi ni kuridhika?Mkuu hakuna Uhusiano wowote Uyo jamaa itakuwa Karidhika tu au ndo Furaha za kupata mtoto!!!!
Ndio, ni kuridhika na kitambiKuwa na kitambi ni kuridhika?
Naam ila kuna vitambi vya Ugonjwa piaKuwa na kitambi ni kuridhika?
Hahahaaa sio mzima weweahaaaa labda wamegawana majukumu mama amebeba kichwa na kifua baba kabeba tumbo na miguu