mzaramo
JF-Expert Member
- Sep 4, 2006
- 6,371
- 5,191
Anapiga World tour alafu we unasema ajitumi ulitaka abebe Gari yake kichwani na kutembea nayo mjini ndio uone anajituma?!Kiba sio mbunifu na hajui kujituma kufanya kitu kizur.... Nilikua napenda kaz zake ila tangia waje akinq fulani naona ubunifu na kujituma zaid kwao. Kiba badilika bro