Pole sana kwa yaliyokukuta,Shirika la posta ni kikwazo kwa watanzania kufurahia matunda ya utandawazi,manunuzi online ni choice ya mtu hayatakiwi kuingiliwa na huduma zao mbovu.kwani kwa wanachofanya wanawakomoa wateja wao ambao baada ya muda watawasusa.
Ushauri,kama unataka kununua vitu online...