Nina 150000 nahitaji digital camera.

Inside10

JF-Expert Member
May 20, 2011
26,060
23,941
wadau natangaza tenda hyo naomba mwenye kuweza kuuza digital camera kwa bei tajwa hapo juu, aweke specification za hiyo camera na kwa nitakayo futiwa nayo tuta'make deal.
 
samsung 8 megapixel na Kodak 12megapixels zipo kwa good conditions
 
Kwa bei hiyo kama ni za kitz basi Mega Pixels zitakuwa labda 5 hadi 6!!!!! but utapata tu!!!
 
msimvunje moyo,kwa hela hiyo atapata camera bomba sana!mm ninayo 10 megapixel,ila kwa sasa sipo bongo,kama atakua hajapata till xmas ntamuuzia ya kwangu!ni Sony
 
wadau natangaza tenda hyo naomba mwenye kuweza kuuza digital camera kwa bei tajwa hapo juu, aweke specification za hiyo camera na kwa nitakayo futiwa nayo tuta'make deal.

Ushauri ongeza hela kidogo upate kitu chenye quality. Kwa bei hiyo utapata camera ambayo hutajivunia maana itakuwa haifanyi vitu vya ukweli.
 
msimvunje moyo,kwa hela hiyo atapata camera bomba sana!mm ninayo 10 megapixel,ila kwa sasa sipo bongo,kama atakua hajapata till xmas ntamuuzia ya kwangu!ni Sony

Wewe inaonekana unataka kumsaidia tu kwa maana una uhakika ukitoa hiyo camera unayo hela ya kutop up lakini ukweli kamera nzuri kwa bei hiyo ni kama kulenga manati.
 
Add just a few thousands and you will be able to get a brand new 10.3MP Samsung ST30 camera with 2 year warranty and tax invoice.Actual Pricing is Tshs 220,167,put this coupon on checkout JAMIIFORUM and you will get an instant 20% discount!so pricing should be just Tshs 176,134!
visit EC-ST30ZZBPBAE
 
naomba kuelekezwa jinsi ya kununua vitu kutoka KIVUKO.COM
 
msimvunje moyo,kwa hela hiyo atapata camera bomba sana!mm ninayo 10 megapixel,ila kwa sasa sipo bongo,kama atakua hajapata till xmas ntamuuzia ya kwangu!ni Sony

Parachichi tafadhali nitafute kwenye email yang mrinazzgg@yahoo.com tu make dil.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom