Bei ya nokia x7

dedam

JF-Expert Member
Jan 5, 2011
845
164
Naomba mnifahamishe bei ya nokia x7 na nokia 5800 express music mpya na mnishauri ipi bomba kati ya hizo hususan kwenye matumizi ya internet
 

Kivuko

Member
Jul 12, 2009
66
4
Nokia X7 ni nzuri zaidi,ina screen kubwa,yenye ubora zaidi,pia ni toleo jipya ukilinganisha na 5800
Nokia X7 inauzwa Tshs 892,750

tazama hapa
 

Msarendo

JF-Expert Member
Jan 29, 2011
10,074
5,629
Nokia X7 ndo mpango mzima..pia kama utapata nokia n9 itakuwa mpango zaidi.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom