Ebay!.....mwe! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ebay!.....mwe!

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Amoeba, Mar 26, 2010.

 1. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #1
  Mar 26, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 0
  Wasalaam wadau wote,
  Nahitaji kununua electronics flaniflani kutoka ebay.com, lakini kila venda nayemcheki anasema hafanyi international shipment !! lakini kwa vitu kama DVDs, ama vitabu ni rahisi. Ebu nduguzangu nisaidieni, kama kuna mtu yeyote huwa ananunua vifaa vya elektroniki kutoka ebay akiwa bongo huwa inakuwaje?
  Ahsanteni.
   
 2. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #2
  Mar 26, 2010
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,947
  Likes Received: 1,508
  Trophy Points: 280
  Ah ndugu tuko wengi hata mimi hutamani sana kununua vitu vye elektonic kupitia ebay au Amazon lakini sijui taratibu jinsi ya kufanya kwa sisi tuliopo Bongosalama na vijisenti vyetu vya madafu
   
 3. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #3
  Mar 26, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Unaposema unamcheki una maana gani? Je umewasiliana nae? Kuna wengine ukiwasiliana nae anaeza kukubali kukutumia lakini utalipia shipping tofauti kutokana na umbali. Vilevile wengi hawataki kufanya biashara na watu wa nchi maskini kwa sababu ya inconvenience, udhulumati na utapeli, labda uwe na paypal.

  Kaa hamna anayekubali kufanya biashara na wewe ndio hivo inabidi ukubali matokeo maana kaa ofa yako haikubaliwi biashara haiezi kufanyika.
   
 4. RRONDO

  RRONDO JF-Expert Member

  #4
  Mar 26, 2010
  Joined: Jan 3, 2010
  Messages: 25,886
  Likes Received: 20,972
  Trophy Points: 280
  unataka vitu gani?may be naweza kukusaidia.
   
 5. kisu

  kisu JF-Expert Member

  #5
  Mar 27, 2010
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 802
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 45
  Jamani mie nimeshanunua vitu vingi kwenye ebay. Jamaa wengi wanaouza kwenye ebay huwa hawaship overseas. Unaweza ukawatumia ajenti (Nile Cargo) wapo Boston, Massachusett na ukisha nunua wanatuma vitu address ya Nile Cargo na kisha wanatuma TZ kwa ndege au meli, na hapa TZ wana ajenti wao wa kuvikomboa, ila chaji zao zinaua.
   
 6. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #6
  Mar 27, 2010
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Shida pia za kufanya online transaction kwa nchi zetu ipo isio tu kwa wauzaji na wateja, bali pia kwa mabenki yetu...mengi jot reliable na hayana hzo huduma za "onlione/digital banking.. Kununua kwa online transactions kama Ebay, Amazon nk nk, wahitaji kuwa na akanunti yao (mteja) na uweke details za akaunti yako (bank details) za kulipia. Sasa sijui kama benki zetu kama NMB, NBC, CRDB "Sidanganyiki Bank" ( Bank ya Posta Tanzania) nk nk zipo kihivyo...Just was CRDB ambayo nayo ni longo longo kinoma kuhusu malipo kwa fedha za nje au online.

  Cha kufanya ni kuwatumia wale unaowafahamu ambao wapo nje wakununulie kisha wakutumie kama hivyo unavyohitaji haviwezekani kupatikana kwa eneo ulilopo kwa bei nafuu zaidi.
   
 7. m

  msm Member

  #7
  Mar 28, 2010
  Joined: Mar 12, 2010
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nenda exim u-apply mastercard utafanya kila kitu na ni secure pia kwa ajili ni pesa yao wanafuatilia haraka pale unapolalamika
   
 8. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #8
  Mar 28, 2010
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,611
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Mimi nipo nje ya nchi na natumia sana ebay kununua vitu na kuna vitu vya bei rahisi sana na ambayo ni vipya kabisa ambavyo bei yake ukienda bongo kwenye maduka ya hapo unakutwa umepigwa bei ya mara 3 yake ndio hapo nacheka....

  ila mkuu mimi nilikuwa tayari kukusaidia hiyo problem yako yaani ningekununulia then vikaja kwenye adress yangu hapa nilipo then nikavichukua nikakutumia huko....


  ila problem ambayo naweza kusema kwamba kwangu itakuwa vigumu ni maana kwanza kuna rafiki yangu yupo bongo nimemnunulia
  Sony Ericsson Satio ni bomba ina 12.1 megapixel camera na gharama yake ni kama 400,000/= lakini bongo unaambiwa kwamba 900,000/= baada ya kuinunua na video camera pia,ila tatizo lililonitokea ni kwamba baada ya kumtumia bongo vilifikia mikono mwa wafanyakazi wa postal office na kuviiba sasa hapo si unaona kama hasara imekuwa kwangu??Kwa hiyo kujicommite inakuwa vigumu sana,tatizo lingekuwa sio postal yetu hapo bongo mimi ningekuwa tayari kukusaidia!!

   
 9. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #9
  Mar 31, 2010
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,947
  Likes Received: 1,508
  Trophy Points: 280
  Je kwa kutumia courier kama DHL inakuwaje si afadhali kulipia huko DHL atleast mzigo unaweza fika kwa hili unasemaje tuko wengi hapa bongo tunahitaji vitu kama hivyo lakini ndio tatizo,huku vitu ni gharama kina siku niliwahi kuuliza data cable ua Blackberry pale Shoppers Plaza pale juu kuna mhindi anauza vitu vya electronics akaniambia ataniuzia kwa dola 100 jamani huu si wizi wa mchana kweupe,nilipomwambia hiyo sio bei yake akasema yeye anatoa Ulaya.
   
 10. Papizo

  Papizo JF-Expert Member

  #10
  Mar 31, 2010
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 4,611
  Likes Received: 392
  Trophy Points: 180
  Huyo mhindi mwizi tu alitumia advantage kwa vile ni blackberry hana lolote hiyo cable unayosema huku tukisema tutumie shillings inaweza kuwa sh 5,000/= tu,Nipe kwanza aina ya blackberry unayotumia I mean model yake then nitacheck mkuu maisha siku zote ni kusaidiana......
   
 11. Gudboy

  Gudboy JF-Expert Member

  #11
  Apr 1, 2010
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 799
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Yaani umeongea kitu ambacho nahisi ndicho kilichonitokea au kinataka kutokea. Hii posta ya bongo ni wezi sana. Mimi nilinunua blackberry toka ebay na jamaa akaniambia ametuma taehe 17/2/2010 lakini mpaka sasa kila nikienda posta hamna kitu, nikajaribu kuwauliza wakasema watacheki, nimeenda kama mara mbili hivi. Ebay wakanitumia namba ambayo wamepostia nikapeleka posta ya hapa wakasema hawaoni hiyo simu ilipo, inawezekana wameshaniliza
   
 12. Gudboy

  Gudboy JF-Expert Member

  #12
  Apr 1, 2010
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 799
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Mimi nilinunua simu ebay na nikalipia kwa kupitia visa card ya crdb, ambayo inabidi wakusajili, ila ukitaka kununua wakati unachagua weka option ya kutaka vendor ambao wataship world wide ndio zitakuja hapo utachagua na kufanya manunuzi. Sasa kwa bila kutumia posta je ni nia gani nyingine ambayo ni ya salama maana posta ni wezi wale
   
 13. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #13
  Apr 1, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  Hivi hata ukitumia DHL vitu vinapotea ...
  Nimewahi kupekea vitu kwa DHL
   
 14. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #14
  Apr 1, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,367
  Likes Received: 22,229
  Trophy Points: 280
  Nendeni kariakoo mkapate mahitaji yenu.
  Mkikosa fuateni zanzibar
   
 15. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #15
  Apr 9, 2010
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,947
  Likes Received: 1,508
  Trophy Points: 280
  Asante Papizo bahati nilipata kwa bahati niliponunua external hardisk ile cable yake inaingiliana na BB yangu kwa hiyo ndio natumia,nashukuru kwa moyo wako nikihitaji kitu nitawasiliana nawe kwa kuku PM
   
 16. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #16
  Apr 9, 2010
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,947
  Likes Received: 1,508
  Trophy Points: 280
  Eh sasa jamani wapi pa kuaminika kutumiwa hivyo vitu vya ughaibuni kama hata DHL vinapotea au mpaka tusubiri wakulu wakiwa kwenye msafara wa muungwana ndio tuwaagizie kuwa jamani eh huko London kuna ndugu nani tafadhali muone atakupe camera yangu,du Tz kweli chiboko
   
 17. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #17
  Apr 9, 2010
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,947
  Likes Received: 1,508
  Trophy Points: 280
  Ndugu kariakoo ni mchina tupu,tena yule mchina si wa ghuanzou bali wa vijijini, vitu vya hapo ukinunua hata siku haipiti vinakuwa vimeharibika
   
 18. Kivuko

  Kivuko Member

  #18
  Apr 11, 2010
  Joined: Jul 12, 2009
  Messages: 66
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Pole sana kwa yaliyokukuta,Shirika la posta ni kikwazo kwa watanzania kufurahia matunda ya utandawazi,manunuzi online ni choice ya mtu hayatakiwi kuingiliwa na huduma zao mbovu.kwani kwa wanachofanya wanawakomoa wateja wao ambao baada ya muda watawasusa.

  Ushauri,kama unataka kununua vitu online unaweza kutucheki hapa (kivuko).Unahakikishiwa kupata bidhaa yako kwa ubora wa "world class" na la zaidi unahakikishiwa itafika Tanzania.kwani kivuko kama wateja wengine wa shirika la posta tunawaepuka kadri tuwezavyo.Barua tutapitishia huko lakini sio simu au vifaa vya thamani.kuna njia za nyingine kama DHL,UPS,TNT n.k tunazozitumia kuhakikisha unapata bidhaa uliyonunua kwa wakati muafaka,
   
 19. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #19
  Apr 14, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 0
  kivuko mmekaa vizuri sana tu, lakini bei za baadhi ya vitu ziko juu kiasi-ukitafuta e-bay unapata kwa nusu bei.
   
 20. n

  newazz JF-Expert Member

  #20
  May 10, 2011
  Joined: Mar 28, 2009
  Messages: 471
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 60
  GudBoy,

  Nataka kujua zaidi kuhusiana na kununua kwa visa ya CRDB, mimi napata shida card yangu kukubalika na websites ... nikadhani ni longo longo za CRDB....
   
Loading...