My Blackberry 9000 Bold is dead help please | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

My Blackberry 9000 Bold is dead help please

Discussion in 'Tech, Gadgets & Science Forum' started by Lucchese DeCavalcante, Apr 14, 2010.

 1. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #1
  Apr 14, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  My BB is not turning ON and when I put on charger if flashes red 2-3 times continuously. I bought it at Afritel Zain shopping centre next to Hadees au Fast Food restaurant 3 months ago and it is out of warranty since they only give 1 month warranty. Anyone with a workaround to fix it please...
   
 2. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #2
  Apr 14, 2010
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,940
  Likes Received: 1,498
  Trophy Points: 280
  Muone fundi Muna yupo pale Mosque street au Dr Phone,
   
 3. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #3
  Apr 14, 2010
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,940
  Likes Received: 1,498
  Trophy Points: 280
  Na mwingine yupo pale juu ya duka la vodacom pale Samora opp na IPS building
   
 4. Kang

  Kang JF-Expert Member

  #4
  Apr 14, 2010
  Joined: Jun 24, 2008
  Messages: 5,120
  Likes Received: 615
  Trophy Points: 280
 5. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #5
  Apr 14, 2010
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,754
  Likes Received: 179
  Trophy Points: 160
  Ipeleke Zain Centre pale (Harbour View) JM Mall,watakusaidia ushauri bila gharama yoyote.... Au Zain Centre iliyo-karibu nawe...
   
 6. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #6
  Apr 14, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Ok thanks all
   
 7. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #7
  Apr 14, 2010
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  POle sana
  One month warranty mbona kichekesho . Kwani haina manufacturer warranty? kama hukutupa makabrasha ya simu soma vizuri kuna info za manufacturer warranty na vitu gani ina cover. pia jaribu kucheki kwenye website ya BB kama Serial Number au IMEI No za BB yako zinakubalika.

  Supplier warranty sio muhimu kama manufacturer warranty.


  Vile Vile
  Hilo tatizo linaonekana kam ni commona pia katk BB na litakuwa na solution kwenye site ya blackbery na unaweza kupta usaidizi wa online . Mfano kuna hii unofficial website ( http://www.blackberryforums.com.au/forums/blackberry-7200-series-discussion/979-red-led-flashing-problem.html) ya blackberry wanasuggest


  This behavior indicates that no applications are installed on the BlackBerry device.

  Cause

  BlackBerry Application Loader removed existing application programs from the BlackBerry device, but failed to install new applications.

  Resolution

  Complete the following steps:

  1. Verify that BlackBerry Device Software is added to the computer. For instructions, see KB03295.
  2. If the BlackBerry device is connected to a laptop computer using a docking station, disconnect the docking station from the laptop computer and connect the BlackBerry device directly to the laptop computer.
  3. If a third-party program (such as a virus scanner) uses the same communications (COM) port as the BlackBerry Desktop Software, close the third-party application.
  4. If you use a universal serial bus (USB) adapter to connect the BlackBerry device to a serial port, temporarily connect the device to a USB port.
  5. In the BlackBerry Desktop Manager, double-click Application Loader.
  6. Follow the application loader prompts to install the BlackBerry Device Software.


  otherwise peleka kwa mafundi lakini nadhani tatizo hili halitaji kuichokona simu sana.
   
 8. Mama Mdogo

  Mama Mdogo JF-Expert Member

  #8
  Apr 14, 2010
  Joined: Nov 21, 2007
  Messages: 2,866
  Likes Received: 431
  Trophy Points: 180
  Pole sana mdogo wangu. Nami nilikuwa na mpango wa kuchukua aina hiyo ya simu, sasa ujumbe wako unanipa hofu nisije nikasitukia na mie BB yangu mpya imeganda ghafla!!! Naona ninunue tu iPhone labda yenyewe imetulia, wenye uzoefu wanisaidie kunipa ushauri.
  .
   
 9. Kivuko

  Kivuko Member

  #9
  Apr 14, 2010
  Joined: Jul 12, 2009
  Messages: 66
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  next time do not buy a phone with 3 months warranty,most phones do have 1 year warranty,and some 2 years.if the seller indicates the warranty is just 3 months the authenticity of the phone is in question.

  regarding the blackberry it is a software problem,just find someone who knows their way around a computer to help you fix it.
   
 10. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #10
  Apr 14, 2010
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,940
  Likes Received: 1,498
  Trophy Points: 280
  BB bold ni BB bomba kuliko BB zote,tatizo lipo kwa kila chombo cha electronics,inawezekana hiyo BB ni ya bandia au ilipata hitilafu kutokana na utumiaji,pia mi kwa hapa TZ sijaona duka liuzalo BB na waranti wenye maduka hudai BB hazina waranti,nimewahi kuuliza pale kwenye duka liuzalo simu Mlimani City karibu na shoprite wakaniambia hivyo nilivyotaka kununua,nikaona isiwe tabu,nikanunua kutoka kwa jamaa aliyekuja kutoka Uingereza kwa laki nne kitu kimetulia kina mwaka hata siku moja haijawahi kuharibika,hizi za maduka ya bongo au za makampuni ya simu ninawasiwasi nazo isiwe nuna wajanja wanazikarabati kutoka Dubai ingawa nyingi zimeandikwa kuwa zimetengenezwa Hungary na cable zake zinatoka China
   
 11. Tumsifu Samwel

  Tumsifu Samwel Verified User

  #11
  Apr 14, 2010
  Joined: Jul 30, 2007
  Messages: 1,406
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  BB hamna kitu ni bomu ambalo linaweza kukulipukia anytime.
   
 12. 1

  1975 Senior Member

  #12
  Apr 15, 2010
  Joined: Jul 9, 2009
  Messages: 132
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Nafikiri wakati umefika tuangalie uwezekano wa kublock avetor za aina hii,moderator humu unao member wenyeheshima zao naomba nikushauri uifanyie kazi hii avetor kwani sasa hii website ambayo tunaiheshimu sana tutaanza kufikiri imekuwa ya kihuni!!!!!!!!
   
 13. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #13
  Apr 16, 2010
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,940
  Likes Received: 1,498
  Trophy Points: 280
  Tuambie uhuni upi ambao moderato wanatakiwa kublock,ni vizuri kueleza huo uhuni kuliko kutoa hukumu ya jumla ,
   
Loading...