Tatizo unakaa kijijini na wewe ni muongo kabisa. Tuulize sisi watoto wa town hapo kipande ya pasua. Moshi miaka mitano iliyopita ilikuwa kata chache ndio zilikuwa na barabara za lami. Lakini sasa ukienda pasua lami, majengo lami, soweto lami, kcmc, ngangamfumuni, mwereni, kb lami na mpk 2020...