Osama bin Laden yupo hai, ukweli ndio huu

Osama bin Laden yupo hai, ukweli ndio huu

kalagabaho

Kama unasahihishwa na mwalimu nchi za ulaya uki google kama hivyo una fail kuna principle lazima uziweke kwenye arguments or arguments should be backed with physical evidence, personality matching the environment of those past society, psychological reasoning of those era kwa hivyo kabla ujakurupuka lazima usome maandishi ya mtu ambayo yana credentials ndio uandike research zako which also its arguments can be traced ata kama unaandika thesis ya history in 10th century. Without evidence people will just take that writing as pure bunkum.

On the other hand hakuna kitu google unakosa ambacho kipo kwenye journals zozote au kitabu chochote if not more when doing research provided kwanza unajua principles zenyewe za subject matter and for you to do that lazima usome vitabu vingi sana from a to A-Z its called foundation building with that reasoning knowledge the world of google is yours to exploit; at least information wise leave it to the pros.
 
Kuna habari zimetolewa muda mfupi uliopita na shushushu nguli la Marekani Edward Snowden kupitia Weekleaks yake kuwa ana taarifa za uhakika kwamba Osama bin Laden yuko hai na anaishi kwa payroll ya Shirika la Ujasusi la Marekani, CIA mjini Nassau katika visiwa vya Bahamas huko USA.

Chanzo: india.com reports

Kama habari hii ni ya kweli basi Marekani inatisha. Ebu wataalam wa mambo kama haya ingieni kazini mchimbe mtupe ukweli wa jambo hili maana inasemekana kuna picha za hivi karibuni zimethibitishwa kuwa ndiye na ni za kweli.

Hao weekleaks kuna siku watatuletea uwepo wa daud balal
 
Hapa sawa na kumleta Balali!!
Kuna habari zimetolewa muda mfupi uliopita na shushushu nguli la Marekani Edward Snowden kupitia Weekleaks yake kuwa ana taarifa za uhakika kwamba Osama bin Laden yuko hai na anaishi kwa payroll ya Shirika la Ujasusi la Marekani, CIA mjini Nassau katika visiwa vya Bahamas huko USA.

Chanzo: india.com reports

Kama habari hii ni ya kweli basi Marekani inatisha. Ebu wataalam wa mambo kama haya ingieni kazini mchimbe mtupe ukweli wa jambo hili maana inasemekana kuna picha za hivi karibuni zimethibitishwa kuwa ndiye na ni za kweli.
 
Nilisha edit mbona; Osama amekufa ingia you tube tafuta decumentary za bbc kuhusu tukio zima utaona mipango ilivyoanza tangia ilivyobainika alipo, mpango mzima wa CIA kuingia Pakistan na kuondoka kwa nusu saa kabla jeshi alijawafikia maana awakutaka kuwataarifu kwa sababu zao ki intelegensia.

Wala sio hadithi live images za camera za jeshi ndio zimetumiwa kutengeneza documentary, ushuhuda wa majirani pamoja na serikari ya Pakistan.

Sasa hapo tumuamini nani ?
 
Mnashangaa Osama kuwa hai?mbona hata A.Hitla mwenyewe bado yuko hai.
 
Ukimiliki media unamiliki na akili za wajinga.
Kama nilivyomwambia mwenzako hapo juu ukiwa unaangalia vitu kama hivyo unapima na evidence zenyewe; how people interpret depend on their levels of perception.
 
Ushuhuda wa majirani? hyo documentary umeona picha zake. Tuwekee hapa kama ni yeye
 
Sasa hapo tumuamini nani ?
Documentary nayozungumzia ina images taken from the physical ground na wahusika wenyewe niamini mimi Osama is dead huyo ka google tu na mwandishi ajampa ushahidi wowote ya kuwa Osama yuko hai zaidi ya kubandika post online.
 
Hili linawezekana kabisa.Kuna mambo mengi yanafanyika nyuma ya pazia,lakini hawa mabwana ni mahodari wa PROPAGANDA za kuhadaa dunia.Nilipata kusoma andiko moja ambalo liliweka wazi kwamba Osama ni mtu wao.
 
Kuna muuaji mkubwa duniani kama George Bush. Ameshambulia nchi nyingi na kuua watu wasio na hatia
 
Documentary nayozungumzia ina images taken from the physical ground na wahusika wenyewe niamini mimi Osama is dead huyo ka google tu na mwandishi ajampa ushahidi wowote ya kuwa Obama yuko hai.

Kwa uhalisia ninaelekeza imani yangu kwako kuwa osama alisha kufa ila kwa ilivyo CIA pia uwezekano wa osama kuwa hai upo pia
 
maramia huo ndio ukwel na utabaki kuwa hivyo. Niliwahi kuelezea kitu kama hiki na baadae Rais Obama akihutubia akiwa white house kuwa wanafadhili ISIS ambapo sikushangaa ila nilitambua hiyo ndio system yao.

Tambua sio Osama tu, hata Gaddafi utakuja ambiwa yupo hai, usishangae.
 
Last edited by a moderator:
Nasikia kumbe Osama ndiyo yule Obama. Wakichokufanya ni kumbadirisha uarabu wake na kumuwekea uafrika na uzungu kwa mbaaali, wakaumba umba historia feki na kumpa urais wa merikani kama shukrani kwake .

Hivi shule mnafungua lini mtupishe humu?
 
Back
Top Bottom