Recent content by kiumbe mzito

  1. K

    iPhone na matatizo yake: Ushauri, maujanja, matengenezo na mengineyo

    Nina 5s ina icloud mpya kabisa mwenye kuitaka please
  2. K

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Nauza galaxy s5 kwenye kuhitaji anicheck bei 430000
  3. K

    Bakhresa food products ltd kupunguza wafanyakazi 500

    Ni kweli sio tetesi mpaka sasa mwandege wafanyakazi 400 wanapunguzwa na viwanda vingine 100 ndio hali halisi
  4. K

    Zanzibar: CUF wamegoma kweli, CCM mbele kwa mbele!

    Kwa hiyo hamuamini ktk demokrasia yanini mnaihubiri kila siku
  5. K

    Wazungu wakitujibu na kusema ukweli tusisema tunabaguliwa wala kudharauliwa

    Walipo hatuwezi kufika labda baada ya miaka 200 kuanzia sasa na wao wasifanye kitu wakae wakitungoja tu
  6. K

    Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa (Membe): Thomas Sankara alikuwa Rais wa Benin

    Ndio aina ya viongozi tuliokuwa kuwa nao ukifikiria sana mpaka kichwa kinauma
  7. K

    Picha: Mama Lowassa leo akiwa Rudughai Tambalale

    Jini mguu mmoja wewe
  8. K

    Wassira: Nitagombea urais 2015

    Sura yake kama kiboko akaongoze familia yake huko
  9. K

    Greatest XI in the history of football

    Kafanya nn kikubwa ktk soka cr7 mpaka awepo angalia hao watu vitu walivyofanya ktk soka uone kama wamebebwa au la
  10. K

    Mhariri wa Nipashe ana ajenda na kazi maalum

    Nbc ilifilisika wapi au mkapa kaiuza ikiwa na asset za 150bilion
  11. K

    Makubwa kama haya: Rais au Ikulu kutokujua ni mzaha mwingine katika kupigania Uwajibikaji

    Kwani kaka kuna hata moja ambalo mkulu halijui kuanzia richmond epa escrow vyote anajua ila ndio funika kombe mwanaharamu apite
Back
Top Bottom