Greatest XI in the history of football

Greatest XI in the history of football

Ajax Amsterdam 1994/1995=uefa champion league winner
AC Milan 1992/1993=uefa champions league winner
Liverpool fc 1984=uefa champions league winner
1982 Brazil world cup squad
2013/2014 Fc Bayern Munchen

Ooooops nimechapia huo mwaka wa the Razonnerri in 1993/94
 
Kafanya nn kikubwa ktk soka cr7 mpaka awepo angalia hao watu vitu walivyofanya ktk soka uone kama wamebebwa au la
 
Kumkosa mungu wa mpira dinyo ni kuudhulumu mpira wa miguu.
 
Mourinho De Stefano alikuwa ni forward na kamwe hajawahi kucheza 6!!
Hapo inatakiwa messi atolewe nje hiyo 10 kisha muweke De Stefano, alafu 6 mpe heshima yake Claude Makelele.
 
Last edited by a moderator:
Mourinho De Stefano alikuwa ni forward na kamwe hajawahi kucheza 6!!
Hapo inatakiwa messi atolewe nje hiyo 10 kisha muweke De Stefano, alafu 6 mpe heshima yake Claude Makelele.

You are absolutely right sembo, nadhani aliwekwa hapo, moja, ili hiyo team iweze kuwa accommodate hao mastaa wote, na pili, kwa sababu De Stefano alikua total footballer kabla hata baba wa total football Johan Cryuff hajazaliwa, alikua anaweza kucheza sehemu yoyote uwanjani, ndio maana wanamuita the most complete footballer
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom