Mtikila: Dr Slaa na Prof Lipumba ni wazalendo, Lowassa hatoshi Urais

Kasema Ukweli mtupu na Siku zote husema ukweli

Alipoulizwa nin mikakati yake kudhibiti rushwa ilala ilikuclfanya maendeleo.

Narudi mikakati yake.


Badala ya kuelezea mikakati yake yeye huyoooo kaacha swali karukia sumae na lowasa driiiiiii mpaka mda ukamwishia.

Hapa ndipo nilipochoka. Nikaishia jucheka tu.

Huyu ukimuliza 3x3 atajibu 6. Kwake hakuna tofauti kati ya x na +.
 
Mch machachari Mch Christopeher Mtikila akiwa katika stdio star TV leo asubuhi katika kipidi cha tuongee amesema kwamba Jaji Lubuva ni mkwewe Lowasa.

Alizungumza hiyo habari kufuatia kitendo cha kampeni alizozifanya mgombea Urais kuiptia Ukawa alipokua ziarani Tabora pale aliposema kuwa hii ni zamu ya warutheri kuongoza nchi.

Pamoja na hayo mambo mengine aliyaongea ni juu ya kauli za viongozi waandamizi wa UKAWA ambzo zinatoka katika kauli ndimi moja lakini zinatofautiana.

Mf kauli ya Mgombea Urais kupitia Ukawa alipokuiwa CCM alisema '' Rais kikwete ni Visionary Leader ana uwezo wa kuona mbali'' na alipotoka CCM akiwa ukawa akasema "Rafiki yangu Jakaya Mrisho Kikwete, kauharibu uchumi wa nchi"

Pia Mhe Fredrick Sumaye'' Endapo CCM itampitisha Lowasa kugombea Urais mimi nitahama chama" na alipokuwa ameama CCM akasema" Lowasa anastahili Urais yeye ndiye Jemedari wetu"

Kauli ya Tundu Lissu "CCM wamempatia Fisadi Lowasa Fomu ya ugombea Urais, Ni hatari''….leo amegeuka kua mpiga debe mkuu….

Kauli ya Mnyika " Nina Ushahidi wa kutosha kuhusina na ufisadi na wizi wa Lowasa na Rostam…

Mwisho akasema ata mchungaji mwenzake Mh Peter Msigwa anayemuunga mkono Lowasa akapimwe akili leo amegeuka kuwa mpiga Debe mkuu…

Akasema kauli tofauti katika vinywa hivyo haviwezi kuongoza fikra za watanzania…..hizo ni mbinu za kuwania madaraka wakipata madaraka wanaanza kuwa na lugha za utetezi….

Na alipoulizwa kuwa inawezekana amenunuliwa na CCM kutokana na kauli yake ya kusema mgombea wa CCM John Pombe Magufuli ana nafuu kuliko Mgombea wa UKAWA…akajibu yeye anaendelea kusisitiza kuwa hawa wagombea wote wana matatizo ya kiafya lakini mmoja ana nafuu au matatizo yake mpaka uyafanyie research huyu mwingine hata ukiwa mjinga kiasia gani unamuona kabisa ubongo umepoteza mawasiliano na mwili mpaka wakati mwengine choo kinatoka chenyewe..hivyo Ikulu siyo Hospital…..

Akasisitiza kuwa CCM imemuweka ndani mara kadhaa zaidi ya mara 40 hawezi kuwamsemaji wao hata kidogo…..
attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php

attachment.php
 

Attachments

  • IMG-20150905-WA0054.jpg
    IMG-20150905-WA0054.jpg
    46.1 KB · Views: 2,784
  • IMG-20150831-WA0044.jpg
    IMG-20150831-WA0044.jpg
    60.2 KB · Views: 2,774
  • IMG-20150831-WA0043.jpg
    IMG-20150831-WA0043.jpg
    72.3 KB · Views: 2,731
  • IMG-20150824-WA0000.jpg
    IMG-20150824-WA0000.jpg
    67 KB · Views: 2,768
  • IMG-20150908-WA0075.jpg
    IMG-20150908-WA0075.jpg
    32.8 KB · Views: 2,696
Mchange mbona hazimtoshi toka siku nyingi kaasilika kisaikolojia toka alipo fukuzwa cdm maajabu ya tanzania etiii ni meneja kampeni wa mgombea urais wa act..hivi zitto mko siriaz kweli?

Nackia wameumia sana kufukuzwa chadema wakat mipango yao ilikuwa haijakamilika,na sasa mpunga hawana zimebakia mbwembwe tu
 
Alipoulizwa nin mikakati yake kudhibiti rushwa ilala ilikuclfanya maendeleo.

Narudi mikakati yake.


Badala ya kuelezea mikakati yake yeye huyoooo kaacha swali karukia sumae na lowasa driiiiiii mpaka mda ukamwishia.

Hapa ndipo nilipochoka. Nikaishia jucheka tu.

Huyu ukimuliza 3x3 atajibu 6. Kwake hakuna tofauti kati ya x na +.

Itakuwa hata akilala anaiyota chadema
 
Mch machachari Mch Christopeher Mtikila akiwa katika studio star TV leo asubuhi katika kipidi cha tuongee amesema kwamba Jaji Lubuva ni mkwewe Lowasa. Alizungumza hiyo habari kufuatia kitendo cha kampeni alizozifanya mgombea Urais kuiptia Ukawa alipokua ziarani Tabora pale aliposema kuwa hii ni zamu ya warutheri kuongoza nchi. Pamoja na hayo mambo mengine aliyaongea ni juu ya kauli za viongozi waandamizi wa UKAWA ambazo zinatoka katika kauli ndimi moja lakini zinatofautiana.

Mf kauli ya Mgombea Urais kupitia Ukawa alipokuiwa CCM alisema '' Rais kikwete ni Visionary Leader ana uwezo wa kuona mbali'' na alipotoka CCM akiwa ukawa akasema "Rafiki yangu Jakaya Mrisho Kikwete, kahuaribu uchumi wa nchi" Pia Mhe Fredrick Sumaye'' Enadpo CCM itampitisha Lowasa kugombea Urais mimi nitahama chama" na alipokuwa ameama CCM akasema" Lowasa anastahili Urais yeye ndiye Jemedari wetu" Kauli ya Tundu Lissu "CCM wamempatia Fisadi Lowasa Fomu ya ugombea Urais, Ni hatari''….leo amegeuka kua mpiga debe mkuu….

Kauli ya Mnyika " Nina Ushahidi wa kutosha kuhusina na ufisadi na wizi wa Lowasa na Rostam… Mwisho akasema ata mchungaji mwenzake Mh Peter Msigwa anayemuunga mkono Lowasa akapimwe akili leo amegeuka kuwa mpiga Debe mkuu… Akasema kauli tofauti katika vinywa hivyo haviwezi kuongoza fikra za watanzania…..hizo ni mbinu za kuwania madaraka wakipata madaraka wanaanza kuwa na lugha za utetezi….

Na alipoulizwa kuwa inawezekana amenunuliwa na CCM kutokana na kauli yake ya kusema mgombea wa CCM John Pombe Magufuri ana nafuu kuliko Mgombea wa UKAWA…akajibu yeye anaendelea kusisitiza kuwa hawa wagombea wote wana matatizo ya kiafya lakini mmoja ana nafuu au matatizo yake mpaka uyafanyie research huyu mwingine hata ukiwa mjinga kiasia gani unamuana kabisa ubongo umepoteza mawsiliano na mwili. Hivyo Ikulu siyo Hospital

Akasisitiza kuwa CCM imemuweka ndani mara kadhaa zaidi ya mara 40 hawezi kuwamsemaji wao hata kidogo…..
 
Kuwa na afya, kuumwa na kufa yote ni ya Mwenye ez mungu, haifai na ni dhambi kubwa sana kumsema vibaya marehemu na hata mgonjwa. Hakuna anayeijua kesho yake. Hao wote tunaosema eti wagonjwa leo jana walikuwa na afya njema kabisa. Waliokufa leo, jana walikuwa wazima. Tofauti zetu za itikadi za kisiasa zisitufanye tusahau kuwa siye ni binadamu na tumeumbwa na mwenye ez mungu. Mungu aliahidi kutupa mitihani mbalimbali ikiwemo maradhi na kifo. Hivyo ukiwa na afya njema leo mshukuru mungu na usimcheke anayeumwa kwani nae alikuwa na afya njema jana. Pia wewe unaemsema mwenzio anaumwa wakati hujaenda kupima afya yako ni mwendawazimu.
 
Hiki wanachokipandikiza ccm vichwani mwetu kitakuja kuwageuka siku moja na kuwa mwiba kwao. Wanaopanga mipango dhaifu ya kumtumia Mtikila kuwatukana wengine nao wanatakiwa kujiuliza madhara yatakayoitokea ccm siku za usoni kama watayamudu. Mtikila sote tunamjua kuwa ni opportunist na yupo kupiga pesa za kifisadi kutoka ccm na ndiyo ajira yake. Na yupo tayari kuongea ujinga ili ale. Kundi la akina Mtikila ni la hatari kwa ustawi wa amani ya taifa kwani huu ubaguzi wake unaofumbiwa macho na mamlaka utawatia kitanzini siku moja. Kusema Lubuva ni shemeji wa Lowasa alitaka asiwe mwenyekiti na kwa maana hakuifaa nafasi hiyo? Na kwa maana hiyo aliyemteua hakuliona hilo? Anataka kumwambia nini aliyemteua kuwa mwenyekiti wa tume? Media ziwe zinaangalia watu wa kuwaalika ili kulinda biashara zao vinginevyo vitasusiwa na wapenda amani na mabadiliko.
 
Mwenyezimungu ni muweza.Ni yeye pekee anayejuwa yaliyo mbele yetu.Tuchukuwe tahadhari na turejee kwake.
 
UKAWA ina kila aina ya virusi

Ufisadi kwa viongozi
Unafiki mkubwa.viongozi wamekaa ccm mda wote.baada ya kuenguliwa ndipo wanacharuka
Afya mbovu
Udini wa wazi na ukanda
Kutelekeza viongozi wakuu Lipumba na Slaa

§§UKAWA haifai kabisa.

Wewe ndio unafaa
 
Ni kweli kabisa. Kuna hatari hapa ya kuongozwa na Rais tusiyemchagua. na hili likitokea tunachagua "anarchy"
'Rais' atakuwa Maalimu Seif kupitia Babu Duni makamu wa rais. Watu wasijidanganye kuwa nchi itaongozwa na Mbowe maana yeye atambulia uwaziri wa kawaida. Waziri kwenda ikulu lazima aombe appointment.
 
ww ndo haujamsikiliza vizuri mchange alikua anatoka nje ya mada hata mgombea wa cuf pia hana hekima ya uongoz

Acha kupotosha kama vile hatukuona mahojiano? Wapi alitoka nje ya hoja? Ili hali hoja zake zilisababisha hadi jamaa wa ukawa wakaanza kupigana wao kwa wao hadi matangazo yakarudishwa Mwanza? Tatizo lenu huwa mnapenda hadithi za kurembwa, ninawahakikishia hadi 25/10 mtakuwa na 2% za ushindi, wananchi wameishafahamu ulaghai wenu - ushauri wa bure nadhani kwa usalama wenu mjitoe kwenye midaharo au live interview zote, mtaumbuka
 
Back
Top Bottom