Hii ndo bongo bana. Mbona tumesahau mengi tuu?
IPTL
EPA
KUUZWA WANYAMA HAI
RICHMOND
........ (Subiri filamu za kimeksko kwenye runinga zetu...)
Story ya mujin ni meno ya tembo kwa ndege ya "she"
Pole sana kamanda. Ni kawaida kwa simu za apple. Ulichotakiwa kufanya ni kufungua account huko ulipokuwa ukitumia simu then uitumie walau ku-download appl mojawapo. Sina uhakika kama bongo nayo imeingizwa kwenye orodha ya nchi zinazo-support itunes
Well said brother. Hakika ni Sitta huyuhuyu anayesifika kwa kuendesha bunge la tisa kwa kiwango ambacho hata mm sina mashaka nacho. Shaka yangu ni kama yako. Kama walimkubali kwa bunge la tisa, iweje CCM hiyohiyo ilimtosa kwa kisingizio cha gender alipogombea kwa mara ya pili? Hakika kuna...
Hamna jipya zaid ya kujiandaa luiba kama mwenzenu balali. kama unawapenda nduzo kwa nn uwaache na uutake umarekani? Ulitaman uzaliwe ulaya ama marekan. Sasa u've got the opportunity! Hamia sisi hatukuhitaji
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.