Msaada wa ku activate account ya apple kwenye simu yangu iPhone s5

Twilumba

Platinum Member
Joined
Dec 5, 2010
Posts
13,594
Reaction score
16,490
Nimenunua simu ya iPhone s5 Switzerland. Nashindwa ku install free app kwa sababu sina account kwa ajili ya billing ie manunuzi ya app nikihitaji.
Nimetengeneza Apple account na nimei activate. Sasa, nikitaka ku install free app, ninapoweka Apple ID inaniambia account yangu haijatumika bado so ni review iLi niweze endelea but nafikia stage naambiwa niweke account yangu Visa, Mat.. etc na sioni option ya None. Nifanyege iLi niweze install free app?
Nipo Moro.

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Pole sana kamanda. Ni kawaida kwa simu za apple. Ulichotakiwa kufanya ni kufungua account huko ulipokuwa ukitumia simu then uitumie walau ku-download appl mojawapo. Sina uhakika kama bongo nayo imeingizwa kwenye orodha ya nchi zinazo-support itunes
 
Nimenunua simu ya iPhone s5 Switzerland. Nashindwa ku install free app kwa sababu sina account kwa ajili ya billing ie manunuzi ya app nikihitaji.
Nimetengeneza Apple account na nimei activate. Sasa, nikitaka ku install free app, ninapoweka Apple ID inaniambia account yangu haijatumika bado so ni review iLi niweze endelea but nafikia stage naambiwa niweke account yangu Visa, Mat.. etc na sioni option ya None. Nifanyege iLi niweze install free app?
Nipo Moro.

Sent from my iPad using JamiiForums
Kafungue uzi wako kule Tech & gadgets utapata msaada wa kotosha.
 
Tech n gadgets wapo wapi Dar/TZ coz nipo Moro@ Idawa

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Tech n gadgets wapo wapi Dar/TZ coz nipo Moro@ Idawa

Sent from my iPad using JamiiForums

Tech n gadgets ni jukwaa linaloweza kukusaidia jambo kama lako. Ni humu humu jf!
 
Back
Top Bottom