safi bado kinana au kikwete
Amalize haraka kuigiza ili akaendelee na mahojiano polisi.
Team UDINI hawatafurahia hii habari!
Je! kuna kiongozi yupi wa kidini au mtumishi wa Mungu aliyemtembelea Askofu Gwajima mpaka sasa hospitalini ? Msaada wakuu !
Team UDINI hawatafurahia hii habari!
Ndiyo Baobao...maaskofu wa CPCT walienda jumamosi mchana na walihojiwa na waandishi wa habari