Recent content by Kitukuu

  1. K

    Msaada: Tofauti ya Bsc. In Chemistry- UDSM na Bsc. In Chemistry- MUCE.

    Hapana, japokuwa kuna baadhi ya kozi za Chemistry ni shared baina ya Chemistry education students na BSc in Chemistry students.
  2. K

    Msaada: Tofauti ya Bsc. In Chemistry- UDSM na Bsc. In Chemistry- MUCE.

    MUCE ni tawi la UDSM (kama ilivyo kwa DUCE), mtaala wa kozi husika ni mmoja.
  3. K

    GE2020 Wanasheria, Tusaidieni. Je, kuna uwezekano wa Tundu Lissu kuenguliwa na NEC kugombea Urais kwa kutumia kigezo cha Uadilifu wa Mke wa Kaisari?

    Ulichokiandika ni fikirishi, Chadema kweli wanahitaji kuchukua hatua. Lakini nakushauri katika uandishi wako kutokuweka pamoja alama ya mshangao (!), alama ya kiulizo (?) na alama ya kituo (.) au alama ya kituo kidogo (,) katika sentensi zako.
  4. K

    INAUZWA Kabati portable

    Kabati zuri kwa mwonekano lakini ni 'delicate' sana. Halihitaji kuguswaguswa, la sivyo litasambaratika ndani ya siku mbili. Niliwahi kulinunua kwa ajili ya kuhifadhia nguo za mapacha wangu, walivyo watundu sasa, kabati lilidumu mwezi mmoja tu.
  5. K

    Ushawahi kuachwa na ndege ugenini?

    Kwa kweli "it was interesting". Sina uhakika kama wanatoa compensation kama wamekupatia accommodation. Lakini kwa kuwa dhana nzima ya kutoa fidia ni usumbufu uliojitokeza katika safari ya mtu husika, nadhani aliyepewa accommodation pia anayo haki ya kupata fidia hiyo. Ikumbukwe kuwa wewe kama...
  6. K

    Ushawahi kuachwa na ndege ugenini?

    Stockholm, Sweden <--> Dar es Salaam, Tanzania Ilikuwa December 10, 2019 nikisafiri kutoka Stockholm (Arlanda Airport) kuja bongo kupitia Amsterdam kwa kutumia KLM Airlines. Ratiba ya safari ilikuwa nitoke Stockholm saa 12:30 asubuhi (yaani 6:30 am) na kufika Schiphol Airport (Amsterdam) saa...
  7. K

    Mfumo wa 'Online Teachers Applications System(OTEAS)' upo hewani. Waombaji wa kazi za ualimu wanaweza kuendelea

    Naomba msaada tafadhali, kwa waombaji wa Ualimu Grade A, kwenye kipengele cha Academic Qualification pana shida. Cheti cha Grade A kimetolewa na NECTA, lakini panahitaji kujaza NACTE Candidate Number. Ukiandika index number ya mtihaniwa wa Ualimu unapata notification 'No data found', pengine kwa...
  8. K

    Wale wote wanaotumia bidhaa za kampuni ya Xiaomi tukutane hapa ili kupeana ujanja

    Mimi pia natumia Xiaomi redmi note 4, (3GB RAM, 32GB ROM) iko vizuri na battery yake iko poa. Tatizo lake ni moja, volume ya sauti wakati wa kuongea kwenye normal voice call ni kubwa, hata nikipunguza haipungui zaidi ya ukomo uliopo. Sijui ni simu yangu tuu, au zote ziko hivyo.
  9. K

    Waraka wa Maaskofu KKKT: Tunasikitishwa na matukio ya kupotezwa watu, kubanwa kwa Uhuru wa Mahakama, Bunge na Tume ya Uchaguzi...

    Hakuna shaka wewe hazikutoshi. Endelee kufikiri kwa kutumia tumbo lako tu!
  10. K

    Shule ya Sekondari Miono hawana maji kwa zaidi ya wiki mbili sasa, vyoo vyafungwa

    Nimekusoma mkuu, lakini nahisi hujaelewa vema ujumbe ama laa umejibu kwa kukurupuka pia, kama ulivyonituhumu. Son's uelewe vizuri kisha rudi tena
  11. K

    Shule ya Sekondari Miono hawana maji kwa zaidi ya wiki mbili sasa, vyoo vyafungwa

    Habari wanajamvi! Kama mada inavyojieleza, shule ya sekondari Miono iliyoko wilaya ya Bagamoyo na ambayo ni ya wanafunzi wa A-level tu, wasichana na wavulana, na wote wakikaa bweni, haina maji kwa zaidi ya wiki mbili sasa. Taarifa nilizozipata kutoka kwa mdogo wangu ambaye anasoma katika shule...
  12. K

    Kwa mbwembwe zote zile mshahara wa watumishi wa Umma imeongezwa Tsh 7,000/=(elfu saba tu)

    Rejea barua yako ya ajira, imetaja kiwango chako ambacho unastahili kupewa kama ongezeko la kila mwaka. Hicho ulichopewa leo ndiyo stahili yako. Siyo wote wamepata kiasi hicho.
  13. K

    Sakata la Dk Shika latua Bungeni urusi

    "A new way of expression is that exquisite poem-Haavikko is only rarely" to say ", which can be for the patient to explain. The framework for the modern runoudelle often characteristic of the pregnancy and the opacity of the poems, however, are a long way off.. Haavikko. the 20-year-old author...
  14. K

    University admission results updates (Matokeo ya udahili vyuoni)

    Pole sana! Yawezekana mpumbavu wewe kwa kuchagua kozi ambazo huna vigezo navyo.
  15. K

    Sakata la UDOM na majibu ya rais Magufuli: Siasa imenishinda, natangaza Kustaafu rasmi

    Kiukweli hata mimi nilishangaa kumsikia mheshimiwa JPM kutaja kuwa tatizo ni wanafunzi kutokuwa na sifa stahili huku waziri wake akimtangulia kwa kusema kuwa wahadhiri wa UDOM waligoma kuwafundisha kutokana na madai kadhaa, na hivyo ilikuwa ni busara kuwarudisha nyumbani kwa muda ili kusubiri...
Back
Top Bottom