Anawachallenge A level katika ishu zipi
Critical thinking
Creativity
Au current issues.
Kama ni reciting za principle za science basi ni kutokana na kuwa na weledi katika kuzungumza kingereza. Kwani hilo ndio tatizo la wanafunzi wa shule za kawaida.
Saidia Fundi ilinisaidia sana nilivomaliza formsix. Nilipiga miezi sita. Nashukuru kwa sasa nafanya kazi zote za nyumbani kwangu hasa umeme na plumbing napiga mwenyewe.
Hii ni mwanzo mzuri sana. Ila mm mawazo yangu ni kwamba kipatikane kitabu cha kiada cha kiswahili ktk shule za awali( hasa za umma) chenye namna murua ya kuwavuta watoto kujua umuhimu wa lugha za kuprogramia. Then tutafika kwenye hizi vitu za kujenga juu ya framework kama hizi.
Toka hapo ulipolelewa uende mbali. Hata maandiko yansema hivyo. Vinginevyo utakalia/ utataga. Najua ulikuwa unawacheka waliokuwa wanafeli pepa basi mtago wa maisha ndio mtago hatari sana.
Shida hawa jamaa ni ndugu wa damu kabisa. Hivyo ni koo ambazo ni mataifa kwasasa wanafyekana tu. Hawa Wairani( sio waarabu na hawapendi kabisa kuitwa waarabu).
We jamaa utakuwa bado uko chuoni. Si bure. Yan unaona kabisa haiwezekana kwa mtu kuwa programming progidy bila kwenda ku recite concepts za kwenye vitabu!? . Hapo niseme wazi labda sio ama vyuo vya bongo. Labda uniambie huko dunia ya kwanza. Kibongo bongo degree nyingi sana hasa hizi za...
Yametatuliwa na wanataaluma mbalimbali. Ila alifanya jambo la ajabu ni huyu aliyesolve Poincare conjecture ). Mrusi ( Grigor Perelman) aliyekataa dola milioni moja kama zawadi ya kazi yake problem. Halafu hii njemba inaishi kwao kwa mama ake. Hawa jamaa wenye akilinyingi sijui wakoje.
Mm nimeshafanya tafiti za awali juu ya huu mmea baada ya kuambiwa how potential the plant is. Ila kwakaili za kuambiwa sijui uko mtaani si kweli. Kwa haraka haraka hakuna mahali kwa Tanzania kuna shamba hata moja. Ila kwa East Africa labda ni Kenya na Rwanda kidogo. Ila kwa taarifa zilizopo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.