Kujifunza programming bila kwenda chuo

Kujifunza programming bila kwenda chuo

nsiwe najibishana m2 kumbe wenge..
Kwanza jifunze kutumia lugha za busara na sio matuso au kejeli, JF hairuhusu hiyo kitu.

Pia unaenda nje ya mada kwa kuingiza ambayo sijayaandika wala kuyagusia.

Jibu swali aliyegundua law of nature alifundishwa na nani?
Unaejua programming kwanza tuanzie hapo..
Kwanini umeniuliza hili swali?
Mm cja guess wala cja kisia kisia najua nnachoongea
Kujua unachoongea hakubadilishi uhalisia.
 
Kwanza jifunze kutumia lugha za busara na sio matuso au kejeli, JF hairuhusu hiyo kitu.

Pia unaenda nje ya mada kwa kuingiza ambayo sijayaandika wala kuyagusia.

Jibu swali aliyegundua law of nature alifundishwa na nani?

Kwanini umeniuliza hili swali?

Kujua unachoongea hakubadilishi uhalisia.

Naona una interprete unavyotaka ww . Km ww unadhani kujua programming nakuwa computer scientists ni sawa then u better go back 2 xcul
Kugundua kitu sio sawa na hii topic hapa na ww ndio uneshikilia utadhani upo on point

Narudia tena. Kujua syntax za language yoyote still utapata changamoto kutengeneza kitu kma compiler. Use ur mind , then mm naongelea kitu ambacho kipo tayari si zungumziii kuwa inventor au ww ushagundua kitu tokea
Uanze kuwa programmer

Kutengeneza kitu kma kile atleast ujue. Principal of compiler designing
Data structure and algorithms
Theory of computation
Engineering mathematics( especially: probability and queues

Endelea kukazana na akili yako. Am done talking
 
Kujifunza programming ww mwenyewe mbona safi 2 sio shida na nimovement saafi kabisa utazikamua system,apps vizuri mno sometimes better than aliyekaa darasani ila ukiwa na basic ya CS itakusaidia kuondoa sm limitation kwenye kazi zako
 
Naona una interprete unavyotaka ww . Km ww unadhani kujua programming nakuwa computer scientists ni sawa then u better go back 2 xcul
Kugundua kitu sio sawa na hii topic hapa na ww ndio uneshikilia utadhani upo on point
Hiyo inaapply kwa watafuta ajira na vilaza.

Chuo kuna tofauti gani na aliyejifunza mwenyewe ukiondoa degree na cheo cha kupewa kwamba kuanzia leo wewe ni computer scientist?
Au vilivyoko chuo na online tofauti yake nini?
Narudia tena. Kujua syntax za language yoyote still utapata changamoto kutengeneza kitu kma compiler. Use ur mind ,
Labda kwako wewe ndio utapata tabu mkuu na sio kila mtu.
Au unadhani binadamu wote wapo kama wewe?
then mm naongelea kitu ambacho kipo tayari si zungumziii kuwa inventor au ww ushagundua kitu tokea
Uanze kuwa programmer
Mpaka naanza kuchukua hatua ya kujifunza programing nishajua tayari nini nataka na kwanini najifunza sijakurupuka na kuanza kujifunza kitu ambacho sijui nitakifanyia zaidi ya kutafuta ajira na pesa kama mleta mada.
Kutengeneza kitu kma kile atleast ujue. Principal of compiler designing
Data structure and algorithms
Theory of computation
Engineering mathematics( especially: probability and queues
Ukijifunza vyote hivyo online kuna shida gani? Au unadhani haiwezekani kujifunza mwenyewe na ukaelewa?

Labda unadhani haiwezekani kutengeneza kitu complex bila ya degree ya chuo na cheo unachovikwa chuo baada ya kukaririshwa?

Ndo maana nimekuuliza "unadhani binadamu wote wapo kama wewe?

Maana unalazimisha utadhani kila mtu ana kichwa kama chako.
Endelea kukazana na akili yako. Am done talking
Mkuu mbona unaandika kama unagombana na mtu asiyekubaliana na mitazamo yako ambayo unadhani uko sahihi 100%

Kumbuka sikukuita uje unipe ushauri mkuu wala sijawahi kuhitaji ushauri wa mtu juu ya chochote. wewe endelea kuamini hivyohivyo kwamba bila chuo huwezi kufanya kitu complex na watu wenye uwezo mdogo kushindwa kung'amua.
 
Ww ndio umeanza ku quote post zangu inamaanisha ww ndio hukubaliani na mtazamo wangu by then hujui uwezo wangu.. u just run around the bush
Mbona unanishangaza mkuu.
Wapi mimi nimequote post zako zaidi ya kuchangia uzi wa mleta mada alafu wewe ndo ukaniquote post namba #200 hebu kuwa na kumbukumbu.

Post namna gani hiyo ambayo nilikuqoete hebu iweke nikaione...?
 
Kma unajifunza komaa.. nadhani nitakuwa nimemaliza hapo mambo mengi mie sielewi nnachojua am living my life fresh 2 and it doesn’t matter nimeajiriwa au nimejiajiri..
 
ngoja niwape siri hii, wanafunzi wengi wanachukia kusikia mtu amejifunza programming mwenyewe sababu kuna watu wamesoma computer science mpaka wamemaliza hawajui hata kutengeneza simple website, unapokuja kumwambia mtu huyu kuhusu self taught inamuumiza sana sababu unakuwa kama unamprove wrong, nipo chuo kwa sasa naona wanafunzi wezangu wanachukia sana hasa pale ninapotoa project au kuitangaza, wengine wanakwambia mtaalamu utakuwa wewe , wengine wanapotezea hata hawataki kuona unafanya nini but deep down swala hili linawaumiza kuona wew unafanya kitu lakini wao hawana muelekeo wowote zaidi ya kumeza madesa ya chuo, kumbuka watu hawapendi kuona ukipiga hatua haswa ukiwa level sawa na wao au ukiwa chini yao , nipo chuo na naona chuki nyingi ninapo release project wengi ni wanafiki, jambo moja unalotakiwa kujua maandeleo ni jitahada binafsi wengi wapo kufurahia kuona ukishindwa.
👏umeongea vizuri sana mkuu
 
Mkuu icho unachokisema in theory kinawezekana lakn ki uhalisia wanaoweza kufanya hivyo hawapo, na programming ni sehemu tu ya kuextend ideas za CS sio kwamba ndio kila kitu kwenye CS.Sasa iv subdiscipline nyingine ya CS inaitwa Data Science imeshamiri ,inahitaji foundation kwenye CS na statistics na yenyewe mkadandie kwa mbele kwa sababu mmekariri syntax za python.
Nionyeshe hao watu waliokaa wakajifunza wenyewe discrete mathematics ,comp architecture,computational complexity, ds & algorithms, calculus, linear algebra, numerical analysis, na topics nyingine nyingi ambazzo siwez kuzitaja (ambazo ndo msingi wa CS) wakazielewa ,na walijipima vp kwamba wamezielewa? Tuache utani mtu unaandika vi markup vya html na kujifunza android kidogo tu unajiita engineer, wee!!!
Nendeni chuo mkatengenezewe computational thinking ,mkajifunze misingi ya vifaa mnavyotumia acheni utani!
Hivi MTU aliesoma BSC(Phy & Maths) mbona hizo kozi nyingi kasoma atashindwaje kujisomea computer language.
Nilichogundua Kuna misingi ukiwa nayo unasoma chochote duniani.Mfano BSC hata uinjia ni dk sifuri . We unadhani wote wanaojisomea programming ni form 4 leaver mkuu.
 
Mkuu icho unachokisema in theory kinawezekana lakn ki uhalisia wanaoweza kufanya hivyo hawapo, na programming ni sehemu tu ya kuextend ideas za CS sio kwamba ndio kila kitu kwenye CS.Sasa iv subdiscipline nyingine ya CS inaitwa Data Science imeshamiri ,inahitaji foundation kwenye CS na statistics na yenyewe mkadandie kwa mbele kwa sababu mmekariri syntax za python.
Nionyeshe hao watu waliokaa wakajifunza wenyewe discrete mathematics ,comp architecture,computational complexity, ds & algorithms, calculus, linear algebra, numerical analysis, na topics nyingine nyingi ambazzo siwez kuzitaja (ambazo ndo msingi wa CS) wakazielewa ,na walijipima vp kwamba wamezielewa? Tuache utani mtu unaandika vi markup vya html na kujifunza android kidogo tu unajiita engineer, wee!!!
Nendeni chuo mkatengenezewe computational thinking ,mkajifunze misingi ya vifaa mnavyotumia acheni utani!
We jamaa utakuwa bado uko chuoni. Si bure. Yan unaona kabisa haiwezekana kwa mtu kuwa programming progidy bila kwenda ku recite concepts za kwenye vitabu!? . Hapo niseme wazi labda sio ama vyuo vya bongo. Labda uniambie huko dunia ya kwanza. Kibongo bongo degree nyingi sana hasa hizi za tekinolojia zinawatoa weupe sana. Hadi hapo atakapoanza kufanya either kazi au kujitolea ndio atapopata picha ya nn alikuwa anasomea. Nyingi ya elimu za vyuo vya kitanzania ni " fragment education". Iko so abstract mpaka aibu.
 
Hi, mm nimemaliza chuo nina hamu sana kujua computer hasa programming, sijui nianzie wapi wakuu.
 
Wakati niko Chuo ten years back nkisoma Compter Engineering kuna dogo alikuja anajua madude na macode yooote.... So unahisi alikuwa ashagraduate Chuo halafu aka rudi tena kusoma? No...

Alikuwa ni self taugh tayari... nahisi chuo alikuja kukua tu...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom