Mwanasayansi Mkuu wa Nyuklia Iran auawa

Mwanasayansi Mkuu wa Nyuklia Iran auawa

Iran inahujumiwa na Wayahudi walio ndani ya Iran..
Iran ndo nchi pekee ya kiislam inawayahudi wengi kuliko,hao ndo wanatumiwa na serikali ya Tel Aviv kufanya yao.
Kama wana mpango wa miaka miiingi sana wa kuifuta Israel, wanashindwa nini kuua hao Jews wote?

Maana kitu kilichopo ni CHUKI kwa Wayahudi hakuna kingine.
 
Update from almasdar news :iran arrested three peoples who update netanyau refuase to comment about this issue kamanda wa iran ameonya kulipiza kisasi also bei ya mafuta huenda ikapanda kwa asilimia 16%
 
Hao ndo Israel bana wanazaa na wewe hata kwenu....hii ni taatifa mbaya Sana kwa wavaa makobazi
Daktari Mohsen Fakhrizadeh ambae anasimamia masuala ya Nyuklia Iran, Ameuawa mapema leo baada ya gari aina ya nissan fuga alilokuwa amepanda kupandikizwa bomu na kupigwa shaba kadhaa na mtu aliyekuwa kwenye pikipiki, tukio hilo limetokea katika mji wa damavand, karibu na Tehran.

Mpaka sasa hakuna kikundi kilichojitaja kuhusika, ila Israel imekuwa ikihusishwa na uuaji wa wanasayansi wa Iran, ambapo kati ya mwaka 2010 na 2012 wanasayansi wanne waliuliwa kwa staili kama ya leo.


--------

Top Iranian Nuclear Scientist Fakhrizadeh Assassinated
By IFP Editorial Staff - November 27, 2020

Photos of the assassination scene
Senior Iranian nuclear scientist Mohsen Fakhrizadeh-Mahabadi, a high-profile figure in the country’s nuclear energy program, has been assassinated in Damavand, east of Tehran.

According to several media reports, the scientist was killed on Friday, Nov. 27, 2020, in the Absard region of Davamand.

He was reportedly accompanied by his bodyguard when they were attacked by a “suicide” attacker at the entrance of Absard town.

Fakhrizadeh has been killed by shooting, but before the shootout, his car has been stopped with an explosion at Mostafa Khomeini Blvd. Several others are also reportedly killed in the incident, but haven’t been identified yet.

While Iran’s state TV also confirmed the assassination, Behrouz Kamalvandi, a spokesman for the Atomic Energy Organization of Iran, has denied the reports, saying all nuclear scientists are safe.

Tasnim quotes an informed source as saying that Fakhrizadeh is not dead yet and is under treatment in operation room. Efforts are underway to treat him and one of his companions

A Professor of physics at the Imam Hussein University, he was a senior scientist at the Iranian Ministry of Defence and Armed Forces Logistics.

No one has yet claimed responsibility for the assassination, but the Israeli regime has a dark history of hiring hit men to assassinate nuclear scientists and intellectuals in Iran.

Four Iranian nuclear scientists were assassinated by the Israeli regime between 2010 and 2012. According to Western intelligence agencies, the acts of terror were carried out by Israeli agents, an accusation Israeli officials never admit.


View attachment 1636103
 
We jamaa unaniachaga hoi Sana eti Israel Hana banker buster....hiv mtu anamiliki nuke ashindwe kumiliki bunker buster?[emoji16]kwahiyo wewe ndo mnazimu mkuu wa jeshi la Israel na unajua silaha walizonazo na wasiokuwa nazo....
Israel anadhani iran anataka kuunda nuclear bomb,kitu ambacho kitaifanya iran iwe more powerful,,so israel anataka nchi zinazoizunguka ziwe weak kwa kuhofia anaweza kushambuliwa,
So israel ana option 3.
1-kuacha iran iunde nyuklia.
2-kushambulia vinu vya nyuklia iran(hii anapungukiwa na capability,hana bunker buster za ku penetrate mita 500 chini ya ardhi).
3-anaua iran nuclear scientist ili ku sabotage program ya nuclear ya iran,
Hii option ya mwisho ndo wanaitumia maana sio risk kivile
 
Hana lolote boya Kama maboya wengine ndio maana Israel anajipigia tu huko Syria Kama kidume arushe hata jiwe kutokea Tehran alafu ndo utajua Kati ya Israel na Iran Nani atavaa Dera....badara ya kanzu na kobaz
Iran Ni mtu MBAD sana ndo maana wanamuogopa
 
Iran inahujumiwa na Wayahudi walio ndani ya Iran..
Iran ndo nchi pekee ya kiislam inawayahudi wengi kuliko,hao ndo wanatumiwa na serikali ya Tel Aviv kufanya yao.
Sema serikali ya Jerusalemu sio tel aviv mji mkuu wa Israel ni Jerusalemu
 
Iran ikifanyiziwa namna hii iwache kulia lia tu nayo ifanye kama vile ilivyokuwa kule Iraq alipouliwa jenerali Suleimnan
Hata mimi naamini watendaji safari hii ni Israel ndio wenye roho mbaya ya kuuwa wasomi na wataalamu wa masuala muhimu wa kiislalmu.Walipoingia Iraq chini ya kivuli cha Marekani waliuwa mpaka maprofesa akinamama.
 
Waisral hawana huruma. This is serial murder, wanaendelea kupukutika wataalam wa nuclear
Shida hawa jamaa ni ndugu wa damu kabisa. Hivyo ni koo ambazo ni mataifa kwasasa wanafyekana tu. Hawa Wairani( sio waarabu na hawapendi kabisa kuitwa waarabu).
 
Israel angekuwa hamuogopi iran.israel asingekuwa anaogopa nyuklia za iran
Hana lolote boya Kama maboya wengine ndio maana Israel anajipigia tu huko Syria Kama kidume arushe hata jiwe kutokea Tehran alafu ndo utajua Kati ya Israel na Iran Nani atavaa Dera....badara ya kanzu na kobaz
 
Usiamishe magoli mechi ya leo ni
IRAN 0 vs ISRAEL 7
Dk ya 90+2[emoji16]
A possible attempt to prevent renewed US diplomacy with Iran’

Meanwhile, senior Swedish politician Carl Bildt suggested that the assassination could be part of plots to block the incoming administration of US president-elect Joe Biden from re-engaging in diplomacy with Iran, two years after outgoing President Donald Trump pullout Washington out of a 2015 nuclear deal with Tehran and unleashed a campaign of “maximum pressure” against the Islamic Republic.

“It’s not unlikely that this targeted killing was part of efforts to prevent the Biden administration from reviving diplomacy with Iran and going back to the nuclear agreement,” the ex-Swedish premier said in a tweet.

Biden has said the US will rejoin the deal if Iran agrees to end the retaliatory measures it adopted in the aftermath of Washington’s exit from the agreement, officially named the Joint Comprehensive Plan of Action.

Israel has been a staunch opponent of the Iran nuclear deal.
 
Sio anaogopa anawatia adabu anaegopa angekaa kimya lakini baba Bray(Israel) anaenda kutoa disprin ndani ya Tehran uoni huyo sio muoga au unatafsir vip....mbona Kama umepanic ustaadh[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Israel angekuwa hamuogopi iran.israel asingekuwa anaogopa nyuklia za iran
 
Terrorist attack ni ngumu kuizuia. Mbona hata France even USA mashambulizi kama haya hutokea??

Maraisi wangapi wa marekani wameuliwa kwa risasi??

. Mbona mambo yakitokea IRAN mna yashadadia Sana??

Double standard?? Au Islamophobia??
Ukiona rais wa USA ameuwawa ujue ni inside job mkuu
 
HILI TUKIO LINAONYESHA UDHAIFU WA ISRAEL NA USA, WAMESHINDWA KUPAMBANA NA IRAN USO KWA USO WAMEAMUA KUTUMIA NJIA ZA PANYA.

KILA SIKU WANAKAA VIKAO, POMPEO ANAZURULA MIDDLE EAST KUTAFUTA WASHIRIKA WA KUIVAMIA IRAN LAKINI ANAKOSA SUPPORT.

MATOKEO YAKE WANAISHIA KUVIZIA KAMA HIVI [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Kupambana uso kwa uso Kuna madhara makubwa kuliko kufanya wanachokifanya sasa
 
Back
Top Bottom