Recent content by Kitoabu

  1. Kitoabu

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Mufungwe tu, haina jinsi
  2. Kitoabu

    JamiiForums Tanzania Huwezi amini sasa hivi JF hakuna mada nyingi wala Vibe la Simba na Yanga kama zamani

    Kiufupi JF imepoteza mvuto ule uliokua nao 2020 kushuka chini. Sijui tatizo ni nini?
  3. Kitoabu

    JamiiForums Tanzania Dunia ilikuwaje kabla ya uhai?

    Nibishe nilikuepo?
  4. Kitoabu

    JamiiForums Tanzania Mjue babu wa viumbe vyote duniani

    Yote ni kutaka kujua tu binadam alitokea/anzia wapi. Kiufupi, haitakuja kutokea binaadam akajua chanzo chake, hilo litabaki kua fumbo tu, lisilo na jibu.
  5. Kitoabu

    JamiiForums Tanzania Bing Bang Theory is real. Ask me anything about it here…

    Hakuna anaejua, alie wahi kujua, atakae wahi kujua, Dunia ilianza vipi? Sio Dini wala Sayansi yenye majibu sahihi ya nini chanzo cha Dunia/uhai. Tuendelee tu kulishana matango pori maisha yaendelee.
  6. Kitoabu

    JamiiForums Tanzania Watu wengi wanamuabudu Mungu wa uongo hapa duniani

    Unaandika jambo utadhani ulikuepo vile kipindi jambo hilo linatokea.
  7. Kitoabu

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu sasa awa Mwanasiasa maarufu zaidi Barani Afrika

    Upuuzi mtupu. Hivi vijana wa kizazi hichi mbona wapuuzi sana hivyo! Mukishiba tu hamuna cha kuongea munaamua kupita mitandaoni na kueneza vinyesi, huo ni ukulaanina.
  8. Kitoabu

    JamiiForums Tanzania Wassira: Kulikuwa na sababu ya msingi polisi kuua watu MO29

    Mkuu hata wewe unaweza fanya hivyo, sio mpaka mwengine afanye kwa ajili yako. Hii Dunia kila mtu ana stress zake, wengine mapenzi wengine siasa, usiwapangie watu kitu cha kufanya.
  9. Kitoabu

    JamiiForums Tanzania Wanaume wa kibongo acheni unafki: Angekuwa mzungu mwanamke amewaita msingeenda?

    Malaya ni mwanamke, mwanaume ni mtombaji, tuelewane kwenye hilo.
  10. Kitoabu

    JamiiForums Tanzania Wanaume wa kibongo acheni unafki: Angekuwa mzungu mwanamke amewaita msingeenda?

    Mujirahisishe wenyewe alafu mutegemee huruma yetu wanaume? Kwanza wemwenywe hapo tayari umeshamdharau baba yako kwa kumuita nyambichwa. Kiufupi malaya ni mwanamke yeyote anae tombesha nje ya ndoa yake, bila kujali ni nani?
  11. Kitoabu

    JamiiForums Tanzania Jumanne inaingia huenda kwa kishindo tokea UAE!!

    Waarabu hawakuwahi kumnunua mtu mweusi na kumpeleka kwao (bara arab) bali waliwanunua na kwenda kuwauza kwa wazungu (Ulaya) punguza chuki kwa waarabu. Hiyo history yenu ya kubumba kwasasa haina nafasi vichwani mwa wadadisi wa mambo.
  12. Kitoabu

    JamiiForums Tanzania Kuna uwezekano mkubwa Tanzania kupokwa uenyeji wa Afcon 2027, na kupewa Rwanda

    Endelea kuota. Ukishtuka utakuta michuano ipo final na mwenyeji ni Tanzania.
  13. Kitoabu

    JamiiForums Tanzania Niueni! Nimekaa paleee. Nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa AFCON itafanyika nchi ya Kusadikika

    Jf imejaza wapuuzi wengi sana hii miaka ya karibuni. Hivi nawewe ni GT ?
  14. Kitoabu

    JamiiForums Tanzania Hasira za Mashabiki; Mangungu aokolewa na Polisi

    Hapo kwa mama yangu, umenikosea sana. Niseme tu, yaishe.
  15. Kitoabu

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Huyo jamaa kosa lake lilikua mfumo wake tu 352 ulikua mfumo wa kipuuzi sana, na laiti tungeendelea kumchekea angetushusha daraja.
Back
Top Bottom