hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 51,038
- 72,659
Sindio ,MIZIMU NDIO MIUNGU YA KIAFRIKA.
Sindio ,MIZIMU NDIO MIUNGU YA KIAFRIKA.
🍑🩲💯Huu uzi ukichanganya na ule wa Anunaki.
Hao Adam na Eve inaaminika walifinyangwa na Mungu mwenyewe, siyo kama hizi fotokopi za sasa, ilikuwaje wasiwe na nafsi?binadamu wa kwanza asiye kuwa na nafsi ni adamu na eva hawa ndio wakawa chanzo cha uharibifu wa watu wa kweli hapa duniani.
Hahaha,Dalili moja wapo kuwa wewe una nafsi ni kukabwa usiku. Unapokabwa usiku ni kwamba lucifer kupitia vijakazi wake watu wasiokuwa na nafsi ambao wanaweza kutoka nje ya mwili au astro projection na kuja kukukaba.
Kwahiyo mwaonao akilawitiwa sio dhambi?Umeandika kama, yalivyo mawazo yangu siku zote. Nimekuwa najiuliza maswali mengi kuhusu mwenendo wa watu mbalimbali na mapokeo yao kuhusu Mungu.
Baadhi ya vitu ambavyo nimekuwa nikiamnini ni
1. Huhitaji kuomba Mungu kupitia kwa mtu au kitu chochote kwa sababu Mungu ni mkuu hana dalali, chawa wala msaidizi. Moja ya kitu ambacho kimekuwa kikinishangaza kwa muda mrefu ni kuomba kupitia watu au vitu vya kati.
2. Kitu cha pili ni jinsi ya kuomba. Unahitaji kuomba kila siku? Au ukiwa na shida? Mimi naamini Mungu yupo ku take care juu yangu, hata kabla sijaomba anajua mahitaji yangu. Hivyo mimi binafsi huwa siombi eti Mungu naomba unifanyie 1,2, 3 ila huwa nashukuru na kusema mapenzi yako (Mungu) yatimizwe.
3. Jambo tatu ambalo huwa linanikwaza ni sheria. Kufanya hivi au vile ni dhambi, kula hiki au kile ni dhambi. Naaminj kila kitu ambacho Mungu amekuwesha akufanya uweze kufanya siyo dhambi as long as haki ondoi upendo, na kuwatia watu wengine wema matatizoni. Vile vitu ambavyo Mungu hakutaka tusivifanye alitunyima uwezo wa kuvifanya. Kwa sababu Mungu tofauti na binadamu hawezi kukutega...aweke sukari mezani halafu aseme usilambe, ule wako ulambe.
Soma namba 3 vizuri. Chochote ambacho kitamkwaza mtu mwingine usifanye. Maana ukifanya utakuwa umekosa na ni dhambi.Kwahiyo mwaonao akilawitiwa sio dhambi?
Sio watu wengi….. ni watu WOTE wanaaoabudu Mungu kwasababu Mungu hayupoUmeandika kama, yalivyo mawazo yangu siku zote. Nimekuwa najiuliza maswali mengi kuhusu mwenendo wa watu mbalimbali na mapokeo yao kuhusu Mungu.
Baadhi ya vitu ambavyo nimekuwa nikiamnini ni
1. Huhitaji kuomba Mungu kupitia kwa mtu au kitu chochote kwa sababu Mungu ni mkuu hana dalali, chawa wala msaidizi. Moja ya kitu ambacho kimekuwa kikinishangaza kwa muda mrefu ni kuomba kupitia watu au vitu vya kati.
2. Kitu cha pili ni jinsi ya kuomba. Unahitaji kuomba kila siku? Au ukiwa na shida? Mimi naamini Mungu yupo ku take care juu yangu, hata kabla sijaomba anajua mahitaji yangu. Hivyo mimi binafsi huwa siombi eti Mungu naomba unifanyie 1,2, 3 ila huwa nashukuru na kusema mapenzi yako (Mungu) yatimizwe.
3. Jambo tatu ambalo huwa linanikwaza ni sheria. Kufanya hivi au vile ni dhambi, kula hiki au kile ni dhambi. Naaminj kila kitu ambacho Mungu amekuwesha akufanya uweze kufanya siyo dhambi as long as haki ondoi upendo, na kuwatia watu wengine wema matatizoni. Vile vitu ambavyo Mungu hakutaka tusivifanye alitunyima uwezo wa kuvifanya. Kwa sababu Mungu tofauti na binadamu hawezi kukutega...aweke sukari mezani halafu aseme usilambe, ule wako ulambe.
Binadamu ni kiumbe mdadisi sana so it’s ok kujiuliza hayo maswaliKwamba dunia ni gereza la Lucifer? Maybe it's true kwa mawazo na analysis zako....kimsingi sina uelewa sana kwa mambo ya dini pia sina uelewa sana wa mambo ya ulimwengu
Nina maswali machache kwako mleta uzi-:
1.Asili ya ulimwengu ni nini?
2.Kama ni nature hiyo nature ilianzaje?
3.Hizo jamii za lucifer na ANU zilitoka wapi?
4.Huyo Mungu wa juu zaidi upi mwanzo na mamlaka yake?
5.Huyo ANU yuko wapi
6.Dunia iko sijui kikazi sijui cha ngapi kuanzia kwa huyu the so called Adam je unaamini story za
a.Gharika ya Nuhu b.Sodoma na ghomora?
7.Kwa mujibu wa maandiko ya imani zilizopo duniani kuna mitume kama Mohamad na Yesu je hawa walikuwepo kweli au fiction?
8.Kama mamlaka hizi za Dunia ni gereza la lucifer,haya maendeleo na vitu vingi vinavyotokea nani huvitengeneza?
9.Mvua,jua hutokea wapi na zipo kwenye mamlaka ya nani?
10.Miujiza inayofanyika duniani iwe ya kichawi au kiimani imekuwa powered na nani?
11.Uhusiano kati ya huyu Mungu wa juu na hawa wanadamu wenye nafsi ukoje na wataweza vipi kurudi huku juu mbinguni ikiwa wanakufa wanarudi mavumbini?
12.Nguvu za mizimu,frimason frimason n.k zinatoka wapi?
Karibu sana kwa mjadala nitajifunza Asante.